OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

Bill gates,Paul Allen, Zuckerberg na wengineo walifungiwa na serikali ipi ili kubuni microsofoft, fb nk???
Hao ni watoto waliozaliwa kwenye familia zenye hela...hawakuwa na shida ya mtaji au ufadhili. Pia kumbuka tupo Afrika, usilinganishe na vichwa vya Ualaya, kikubwa tuzae na kulea vyetu.
 
wazo zuri ila iyo investiment inahitaji mahela mengi sasa kwa sababu kipaumbele cha serikali kitakuwa hakiko huko ni bora watu binafsi wenye uwezo huo wadhamini zoezi.
 
wazo zuri ila iyo investiment inahitaji mahela mengi sasa kwa sababu kipaumbele cha serikali kitakuwa hakiko huko ni bora watu binafsi wenye uwezo huo wadhamini zoezi.
Chief, investment ya kwanza ni BRAIN ya Wataalam

Ya pili Vitendea kazi (eneo, computer n.k)

Kwisha kazi.

Ukifanya kwa Pilot yaani unaanza na vijana let say 20.

Wakiiva kwa kutengeneza SOFTWARE/APPS zinazotatua mahitaji ya Serikali au Wananchi watapewa MTAJI/mkopo na Serikali na kwenda kuanzisha Startup Technology Companies

Then, unachukua wengine
The style hiyo, utatengeneza ajira, mapato kwa Serikali na kuokoa hela nyingi ambazo Serikali na Private Sector unatumia kununua SOFTWARE nje ya TZ

HAKUNA JAMBO LINASHINDIKANA ikiwa KUNA NIA THABITI

The sky is the only limit
 
wazo zuri ila iyo investiment inahitaji mahela mengi sasa kwa sababu kipaumbele cha serikali kitakuwa hakiko huko ni bora watu binafsi wenye uwezo huo wadhamini zoezi.
HIZO HELA KUBWA NI....MILIONI 45 TUUUU ZA KITANZANIA. SERIKALI ITASHINDWA????????
 
Nikupe siri ya kwanini nchi kama Marekani inafanikiwa.

Serikali yao ina fungu lililoandaliwa kwa ajili ya maendeleo yoyote yatakayo nufaisha na kuipanga nguvu taifa.

Ukiwa na jambo lolote utakalo ona lina msaada na manufaa ni rahisi kusaidiwa na kupewa msaada rahisi na Serikali.

huku kwetu fungu hizi huwa ni za kuchungulia
 
Sasa wakifungiwa wataruhusiwa kugegeda na kuhudhuria misiba mbina kama nasikia harufu ya bangi
 
Sisi tunasikia mawazo ya kina shyshy levo piere
Ggy mny uwy wma s.nyrr & co Ltd

Ova
 

Huku Ataambiwa apeleke Costech...Tume ya Sayansi na technolojia
 

Costech ipo...Tume ya sayansi...
Au?
 

Chapa kazi mbona unawaza viatu vya ajabu ajabu. Tafuta maisha yako ndugu yangu
 
Sio kipaumbele.
Ofisi ya rais yenyewe imejaa makaratasi.
 
I know CosTech tries...the launchers of MaxMalipo came from there...only after 9 years the TRA come and scam them...why don't Tanzaznia hub its own kids??
Maxmalipo was going to be giant in africa ana world wide.
Insane TRA
 
Apps bora, software nzuri hazijawahi kuengenezwa na mtu mmoja mmoja. Mtu anaweza kuwa coder mzuri lakini hana wazo zuri la kutengeneza program au app nzuri. Mtu anaweza kuwa coder mzuri lakini si mzuri wa User Graphical interface anatengeneza app nzuri lakini interface mbaya lazima ishindwe sokoni. Software apps nyingi kubwa zina team ya watu nyuma yake.
 
Inaweza. Mi naamini
Leo umeamini kuwa haiwezi ? Viongozi wa kiafrika sio watu , maana wakikubali wazo lako waachane na kuagiza , kununua software , program , teni pasenti watapata wapi , sasasana wanakuona umeharibia dili la kuagiza kutoka n'nje .
 

Tulishatoa mwamko na kuomba serikali ifundishe coding vijana wetu. Kazi zipo hata nje ukijua programming vizuri.
 
Hakuna kampuni za IT Tz za Ku search new talent?
Hatuna venture capitalists firms?
Au fund za ku.invest Kwa start ups??
 
IT wa bongo wanachojua ni kuhack social media accounts na kuburn cd tu...wa kuprogram software za maana hakuna
 
Una wazo zuri lakini swali ni je Serikali sikivu itakuelewa?
Wizara mpya ione hiyo wazo zuri na mtu akiweza asaidiwe kusajili hati miliki upesi kwa spidi ya wewe

Mfano mtu akigundua softaware ya kujaza umeme wa luku moja kwa moja kutoka kwenye simu na kuingia nyumbani ukiwa popote atapiga pesa sana kama akaunti ya Benki inawezekana kuingiza au kutoa pesa popote kwa simu naamini na umeme inawezekana sababu luku namba ndio inakuwa akaunti namba

Vijana wa IT ingieni kazini kama kingamuzi Chaweza lipiwa popote umeme kwa nini significant

Nawapa wazo bure hilo mpige pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…