OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

Hakuna kampuni za IT Tz za Ku search new talent?
Hatuna venture capitalists firms?
Au fund za ku.invest Kwa start ups??
Bongo search wana search wana muziki hiyo wizara mpya ianze ku search IT gurus

Tanzania venture capitalists wanunua business ideas hawapo

Marekani na ulaya wapo if you have for example a one million dollar business Idea waweza inunua au wakakupa share ikiwa viable
 
Mada serious kama hiyo Haina wachangiaji na viewers wengi Watanzania tuna shida
Kichwa cha mada kingesema Lisu ajikwaa kidole ubelgiji ungeona jinsi Chadema ambavyo wangefurika humu ku view na ku comment
 
Nzuri lakini usilimit, hakuna kutengeneza app za jamii ni unnecessary limitation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…