Ombi: serikali tafuteni mtu wa kumuuzia TTCL

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,013
Reaction score
10,034
Natoa ombi kwa serikali, kutafuta mtu awe mzawa au mgeni wamuuzie kampuni ya ttcl

Sasa hivi wameanzisha huduma ya fible, leo ni siku ya pili no internet, hizo siku zingine ni internet ya kuvizia,

Ukiona asubuh kuna internet basi usiku hakuna, internet inakuwa ya mgao kama maji kama umeme no way jamani

Unalipa kwa mwezi then unatumia kwa siku 14 or 16 siku zingine zote ni manati tu

Mbona internet ya tigo iko vizuri? Mbona ya Voda iko vizuri? Ttcl mnashida gani?

Mna kila kitu na huduma mbovu

Serikali please fukuzeni wafanyakazi wa ttcl wote wakalime na kampuni apewe mtu mwingine

This is too much
 
Ilishauzwaga mkuuu,makampuni binafsi yote yananufaika na TTCL na ndo anawauzia Internent.Sasa wao wamekubaliana kudhoofika ili makampuni binafsi yanyanyuke.
Una kila kitu kisha unamkodishia mtu si ndo kuuzwa huko.
 
Imewauzia wachina
 
Natoa ombi kwa serikali, kutafuta mtu awe mzawa au mgeni wamuuzie kampuni ya ttcl

Sasa hivi wameanzisha huduma ya fible, leo ni siku ya pili no internet, hizo siku zingine ni internet ya kuvizia,

Ukiona asubuh kuna internet basi usiku hakuna, internet inakuwa ya mgao kama maji kama umeme no way jamani

Unalipa kwa mwezi then unatumia kwa siku 14 or 16 siku zingine zote ni manati tu

Mbona internet ya tigo iko vizuri? Mbona ya Voda iko vizuri? Ttcl mnashida gani?

Mna kila kitu na huduma mbovu

Serikali please fukuzeni wafanyakazi wa ttcl wote wakalime na kampuni apewe mtu mwingine

This is too much
Bora wewe hata walikuunganishia, mimi niliomba huduma February lakini hadi leo nehi!
 
Back
Top Bottom