Hamna cha maana ulichoandika hapo kama lengo lako ni kutibu tatizo lolote.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu. Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
kwanza watanzania tusihusishe kwenye ulichokiandika sisi hatuna undugu na watu wa mashariki ya maji….Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa
sasa kama kunanatukiobmabaya yaliwahi kutokea hapo awali.unazani ni njia hani ya kusolve?Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Ni umoja gani unaouhitaji wewe ikiwa wenye madalaka hautaki?dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu
Hili ni jukumu la viongozi,sio sisi ikiwa wao wemetufikisha pasipostahili,watufikishe panapostahili.Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu.
Umemjibu vizuri sana.Mjomba, acha kuwadanganya watu. Kwa sasa kila mwananchi anaipambania nchi yake. Wazanzibari wanaipambania Zanzibar yao, na sisi Watanganyika tuliokuwa tumelala usingizi fofofo; tumeamka na kuanza kuipambania Tangayika yetu. Tanzania itabakia kuwa mali ya ccm.
Umoja uliopo ni wa kinafiki na maslahi binafsi! Wala hauna ukweli ndani yake.
Ndugu ,siamini kua sisi inabidi tuendeleza makosa ambayo labda yamefanywa na hao tunaofikiria maana tukifanya hivyo basi tutakua tumekubali kushirikiana nao kuharibu nchi yetu. Ni muhimu kuzingatia iloMjomba, acha kuwadanganya watu. Kwa sasa kila mwananchi anaipambania nchi yake. Wazanzibari wanaipambania Zanzibar yao, na sisi Watanganyika tuliokuwa tumelala usingizi fofofo; tumeamka na kuanza kuipambania Tangayika yetu. Tanzania itabakia kuwa mali ya ccm.
Umoja uliopo ni wa kinafiki na maslahi binafsi! Wala hauna ukweli ndani yake.
Ili aliwezi kua na faida kwetu.Nafikiri tunaweza kuamua kujenga kuliko kuendeleza kuboa ndugu. OMBI LANGU NI FAIDA KWA TAIFA LETU TANZANIAUmemjibu vizuri sana.
Uhalisia ni kuwa WaTanganyika wengi wanajidanganya kwa kukumbatia neno Tanzania...
Kwangu mimi MTanganyika nayetumia neno Tanzania huku akizungumzia maslahi ya Tanganyika naona kama amepotoka!
Tanganyika kwanza! Hiyo Tanzania ni cha wote. Tunashindwaje na Zanzibar (Pemba na Unguja)?
Unafikiri ndugu ili linaweza kutatua mkwamo.. tukisema mauaji nk sioni kama tutaweza kurudi au kufika tunapo stahili.Bibi yenu kutoka Zenji kaja Kutuharibia Taifa Letu.
Kaua Maelfu ya Watu October 29View attachment 3652625
Ahsante kwakuona sijaandika chochote ila umeweza kujadili nilicho kiandika. Tukitaka kutoka tulipo kwama na kupiga hatua kamwe atuwezi kutoka kama tujikita zaidi kulaumiana,kutafuta visasi,hasira nk. Ni sahihi sana tukajikita kwenye kuliponya Taifa ili tena bila jazba au kiburi. Jazba na kiburi ni ishara mbaya ambayo inaweza kutufanya tushindwe kujikwamua na ili . Ushauri ,wakati mwingine tunaweza kutafakari zaidi kuliko kukimbilia kujibizana nkHamna cha maana ulichoandika hapo kama lengo lako ni kutibu tatizo lolote.
1. Hujatoa solution
2.Umezunguka hutaji hata shida kubwa iliyotokea watu wanaumia ndugu zao waliuliwa na bado wanatekwa!
3.Unalaumu vyama kwa ujumla kana kwamba hujui ni chama kipi ndio chanzo cha haya nisikufiche ni CCM pekee ukiachana na CDM, vingine vyote ni jukuu wa CCM.
4.Unazungumzia viongozi wa dini, dini gani ? Wakati kuna watu upande wa uislamu walipinga wakapotezwa! Kwenye ukristo ndio usiseme!
Hili jambo usiongee kirahisi rahisi tu, kama vipi nyamaza tu, usije ukaonekana unakejeri ni mwisho wake upo! Viva Tanganyika✊️✊️✊️✊️
Makosa yaliyofanyika kamwe hayawezi kiturejesha kwenye umoja kati ya Tanganyika na Zanzibar. Watanganyika wengi tumeamka kuidai Tanganyika yetu kuliko ilivyokuwa hapo awali.Ndugu ,siamini kua sisi inabidi tuendeleza makosa ambayo labda yamefanywa na hao tunaofikiria maana tukifanya hivyo basi tutakua tumekubali kushirikiana nao kuharibu nchi yetu. Ni muhimu kuzingatia ilo
Mkuu ni uhakika kua wale mnaofikiria kwa mfumo na mlengo wa Utanganyika na Uzanzibar mnaweza kua nyie ndiyo adui namba moja. Tunaweza kuamini na kufanya yaliyo mema na kurudisha umoja wetu pasipo kuangalia sijui Utanganyika na Uzanzibar maana kufanya hivyo ni kuukana uzao wako mkuu.Makosa yaliyofanyika kamwe hayawezi kiturejesha kwenye umoja kati ya Tanganyika na Zanzibar. Watanganyika wengi tumeamka kuidai Tanganyika yetu kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Kwa hiyo umoja utabakia kuwa ni wa kinafiki tu. Hakuna umoja wa kweli.
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.
Kuna kauli na mienendo yetu kama watanzania imeanza kupotea kwa kasi kubwa sana. Tangu awali sisi watanzania tume amini kwenye umoja,upendo,mshikamano maana tuna amani kua sisi ni ndugu wa damu,kabila,imani,dini na taifa. Kuna matukio mabaya ambayo yamelipata taifa ili siku za karibuni ,yakibakiza maumivu na hasira baina yetu. Wapo wanaolaumiwa kusababisha wengine kutenda na wengine kukwepa wajibu wao.
Matukio aya yametufanya watanzania tugawanyike kwa kasi kubwa sana na kubaki na chuki,hasira na visasi mpaka kutakiana au kuombea mabaya
Hapa naomba niwakumbushe asa viongozi wa dini na vyama vya siasa kwamba wametufikisha ambako atukupaswa kufika. Ni hatari sana kwetu tuliopo leo na vizazi vingine tukiendelea kulea na kushabikia hasira,chuki,visasi na maumivu. Ni wajibu wa viongozi wetu kua mstari wa mbele kuona tunarudi kwenye utamaduni wetu wa umoja,upendo,amani na undugu.
Utofauti wetu wa itikadi za kisiasa zisivuke mipaka na kusababisha maumivu makali yasiyo futika mioyoni mwetu. Vyama vya siasa vyote vijue kua lengo la hivyo vyama sio kutugombanisha,kutufarakanisha au kutuondolea umoja na undugu wetu bali vyama vinabidi vifanye zaidi kuona tunu zetu zinarudi na kudum vizazi mpaka vizazi.
Kua CCM,CHADEMA,CUF,ACT-Wazalendo ,CHAUMMA nk isiwe tiketi ya kuharibu au kuhatarisha tunu zetu.
NIWAOMBE WATANZANIA TUJIRUDI NA KUWAJIBIKA KULINDA UMOJA WETU,UPENDO,AMANI nk Tukumbuke vita vya panzi faida kwa mwewe/tai.
AKIBAZI-ITAHWA
Kama mna upenda muungano, mkubali Zanzibar na yenyewe ifutike kama mlivyoifuta Tanganyika. Naamnisha kuwe na muungano wa serikali moja! Kusiwepo na habari ya mimi ni Mzanzibari! na bla bla nyingine.Mkuu ni uhakika kua wale mnaofikiria kwa mfumo na mlengo wa Utanganyika na Uzanzibar mnaweza kua nyie ndiyo adui namba moja. Tunaweza kuamini na kufanya yaliyo mema na kurudisha umoja wetu pasipo kuangalia sijui Utanganyika na Uzanzibar maana kufanya hivyo ni kuukana uzao wako mkuu.
Ili hayo uliyoeleza yaweze kutimia, haki iwepo.Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na makazini.