Atapotea kabisa kisanii! Kushabikia ccm ni kujimaliza kwa kujitakia!
Mwenzako anapata fedha huku akionyesha uzalendo dhidi ya nchi yake, wewe unapiga propaganda mfu hapa!
2010 nilionya kuwa Marlow atapotea na hata Mr.Nice 2000 na 2005.
Kufikiria karibu badala ya mbali ndiko kulikotufikisha huku
Mbona dodomondi anapiga show katika majukwaa ya sisiemu na sapoti mnampa?? Funguka kifikra, kuna kazi na siasa...vijana kazi yao ni mziki wanafanya popote pale.Atapotea kabisa kisanii! Kushabikia ccm ni kujimaliza kwa kujitakia!
2010 nilionya kuwa Marlow atapotea na hata Mr.Nice 2000 na 2005.
Kufikiria karibu badala ya mbali ndiko kulikotufikisha huku
Kwa hiyo mnaona bora afe na njaa kuliko kupata show kutoka CCM? Ameambulia matusi kwa kuwa Bavicha matusi ndio ilani yao ya kuwapeleka ikulu! Hivi kuna hivi kutafuta hela kwa kupiga show na kuwauzia watu fuso chakavu kwa bei ya fuso mpya hipi ni laana?
Kasage chupa unywe kama huipendi CCM.
CCM Oyeeee