Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,860
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni mkosi mkubwa kwenye maisha yako. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.
Ni vema wasanii hawa wakatambua mapema kwa hali ya uchumi,Na kisiasa sasa hivi hapa nchi ilivyo vipo vyama vya kushabikia lakini sio CCM la sivyo watajikuta hata muziki wao hausikilizwi wala kununuliwa tena.