Ommy Dimpoz aambulia matusi ni baada ya kupost CCM

Ommy Dimpoz aambulia matusi ni baada ya kupost CCM

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni mkosi mkubwa kwenye maisha yako. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu.

Ni vema wasanii hawa wakatambua mapema kwa hali ya uchumi,Na kisiasa sasa hivi hapa nchi ilivyo vipo vyama vya kushabikia lakini sio CCM la sivyo watajikuta hata muziki wao hausikilizwi wala kununuliwa tena.

ImageUploadedByJamiiForums1423652504.209406.jpg
 
Atapotea kabisa kisanii! Kushabikia ccm ni kujimaliza kwa kujitakia!
 
Kibo10

Mwenzako anapata fedha huku akionyesha uzalendo dhidi ya nchi yake, wewe unapiga propaganda mfu hapa!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mnaona bora afe na njaa kuliko kupata show kutoka CCM? Ameambulia matusi kwa kuwa Bavicha matusi ndio ilani yao ya kuwapeleka ikulu! Hivi kuna hivi kutafuta hela kwa kupiga show na kuwauzia watu fuso chakavu kwa bei ya fuso mpya hipi ni laana?
 
Atapotea kabisa kisanii! Kushabikia ccm ni kujimaliza kwa kujitakia!
Mbona dodomondi anapiga show katika majukwaa ya sisiemu na sapoti mnampa?? Funguka kifikra, kuna kazi na siasa...vijana kazi yao ni mziki wanafanya popote pale.
 
Kwa hiyo mnaona bora afe na njaa kuliko kupata show kutoka CCM? Ameambulia matusi kwa kuwa Bavicha matusi ndio ilani yao ya kuwapeleka ikulu! Hivi kuna hivi kutafuta hela kwa kupiga show na kuwauzia watu fuso chakavu kwa bei ya fuso mpya hipi ni laana?

Hapa ndo nakupendaga bure,sina kitufe cha like tu mkuu.
 
Wakati wakina liz moko ,makamba jr wanawaza uraisi mtoto wa waziri mkuu wa zamani lemutuz anawazawa starehe arusha mkuu anawaza
 
Acheni vijana wafanye kazi ili wapate pesa ya kuwaweka mjini. au mnataka waanze kuwa omba omba?

baadae waanzae kutumia ngada?

Mbona Diamond katumbui kwenye birthday ya CCM hatujaona kama ameshuka kiwango? Mbona kina JB wamejiunga kabisa CCM na hatujaona kama wamepotea mbona sioni tofauti yoyote kati ya wasanii waliojiunga CCM na wale waliojiunha na CDM?
 
Back
Top Bottom