Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii Omy Dimpoz amefunguka kuhusu vacation yake ya Ibiza na kudai gharama za maisha kule ni juu sana
Akaongezea kile kisiwa alichoenda na kupiga picha na Wayne Rooney ku book meza kwa ajili ya lunch ilikuwa ni Euro 10,000 ambazo ni around milion 25 za Tanzania
Akizungumzia kuhusu watu kusema yule sio Rooney Originala amedai hiyo ni kawaida kwani inawezekana hata mtu akatoka mkoani na kupiga nae picha kisha akawaonyesha wenzake na kumbishia wewe huwezi kupiga picha na Ommy Dimpoz

Hongera Sana Dimpo kwa kupiga picha na Rooney.
 
Kuna wabongo nawajua wanaishi Ibiza full summer, bata kwenda mbele kuanzia Mei mpaka september lakini hata kutundika picha Facebook kwa nadra sana. Lakini supastaa wetu kapita kupiga picha tu ataandikwa gazetini. Kuna watu wanapenda ujiko sio wao.
 
Acha kuwadanganya wa TZ ukifikiri wote ni wajinga na wewe ndie wa kwanza kwenda ibiza! Euro 10,000 to book a table? my foot! huo upuuuzi peleka kwenye magazeti ya udaku
 
Acha kuwadanganya wa TZ ukifikiri wote ni wajinga na wewe ndie wa kwanza kwenda ibiza! Euro 10,000 to book a table? my foot! huo upuuuzi peleka kwenye magazeti ya udaku

Hapo mkuu nilitaka kushangaa Euro 10,000 kubook table....wakati kule Ibiza wanaenda Sana wanafunzi kula bata!...Sasa hela zote hizo watatoa wapi?
 
billdukeNeil post: 17090645 said:
Hapo mkuu nilitaka kushangaa Euro 10,000 kubook table....wakati kule Ibiza wanaenda Sana wanafunzi kula bata!...Sasa hela zote hizo watatoa wapi?
Hiyo Ibiza ndio ni nini wakuu..?..hebu tupeni darasa kidogo kuhusu hiki kisiwa wakuu.
 
Hata dimpoz naye kuna muda alikosea akasema dola ah euro 10,000....labda mleta uzi aliandika kama alivyosikia kwenye clip,kimakosa lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…