Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

Muongo sana huyo hata euro 1000 hazifiki, misifa yakiboya
Kijana anapenda sana makuu na kwasababu hiyo namtizama tofauti in five years to come na kwa wengine haitakuwa suprise lakini ata jidhihirisha.
 
Wasanii igiza, picha za Ibiza.
Promo kujibiza, janja nyingi mbele kiza.
Akili nahimiza, sivyo dunia italiza.
Tambo laning'iniza, si bata kwa Pizza.
Mamilioni Ibiza bila hata kibanda Sinza?
Habari inatatiza.
Bora wende Uvinza, chimba chumvi gawiza.
Dimpo ka Aziza.
Wannabe Yeezus!
...teh hee heee..mistari kuntu!
......sasa inabidi UTIWE studio fasta!
 
Ommy Dimpoz angekuwa mjanja asingepigwa palanja airport mara tu baada ya kuwasili US.
 
Kuna wabongo nawajua wanaishi Ibiza full summer, bata kwenda mbele kuanzia Mei mpaka september lakini hata kutundika picha Facebook kwa nadra sana. Lakini supastaa wetu kapita kupiga picha tu ataandikwa gazetini. Kuna watu wanapenda ujiko sio wao.
Uwajui watu wa kigoma {Ujiji au buzeba zeba hadi uvinza huko} anaitwa Omary Nyembo.
Katumia vizuri kazi ya mdomo.
 
Wasanii igiza, picha za Ibiza.
Promo kujibiza, janja nyingi mbele kiza.
Akili nahimiza, sivyo dunia italiza.
Tambo laning'iniza, si bata kwa Pizza.
Mamilioni Ibiza bila hata kibanda Sinza?
Habari inatatiza.
Bora wende Uvinza, chimba chumvi gawiza.
Dimpo ka Aziza.
Wannabe Yeezus!
Umaarufu wajifanyisha, Wajinga kuwateka.
Werevu twashangaa, uhayawani wajitakia.
Safari ya Ibiza, twaona waigiza.

Safari ya Ibiza, Mamilioni watumbua.
Ulimbukeni wa ujana, Utajiri kujifanyisha.
Dimpo kama Mwanaidi,
Kurembua kama Zuhura,
Kujipodoa kama Jackiline.
 
Umaarufu wajifanyisha, Wajinga kuwateka.
Werevu twashangaa, uhayawani wajitakia.
Safari ya Ibiza, twaona waigiza.

Safari ya Ibiza, Mamilioni watumbua.
Ulimbukeni wa ujana, Utajiri kujifanyisha.
Dimpo kama Mwanaidi,
Kurembua kama Zuhura,
Kujipodoa kama Jackiline.
[emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji40]
 
Back
Top Bottom