Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

Ommy Dimpoz afunguka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney

Picha ngapi watu wanapiga? Kwanini kupiga picha na Rooney itrend?
 
Dunia ilivyo kama kijiji siku hizi kuokota watu(kudanganya )itabidi ujipange kweli.
 
Acha kuwadanganya wa TZ ukifikiri wote ni wajinga na wewe ndie wa kwanza kwenda ibiza! Euro 10,000 to book a table? my foot! huo upuuuzi peleka kwenye magazeti ya udaku
hahaaaa
 
ivi rooney hayuko na morinho kwenye mechi za kirafiki????
 
Huyu jamaa hata nyumba sijui kma anayo .......sifa z kijinga na kulamba lips ndio fani yake
 
omary [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mana alikosana na kigogo warioba[emoji23]
sifa za kijinga
 
hiii Ibiza anamilikiwa ni mtazania nini????????? Nimeona apo kuna beach inaitwa KANYA beach Ibiza,Cafe MAMBO Ibiza ...........😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Akirudi utasikia ooh tunaomba serikali iboreshe maslahi yetu, mara tunabaniwa ....
 
Wakishafilisikaga kama yule mwingine aliyekua anaimba kikulaaacho, wanaanza kurudi kutulilia tena tuwasaidie..
 
Wasanii wa bongo kwa sifa za kijinga bhana.. Unajisifia kulipa 25m alaf ukirud bongo jumba la kupanga.. Hata show yenyewe ukipiga hulipwi ivo...
Si bora hata akae nyumba ya kupanga, subiri siku augue aambiwe matibabu mil 5 aanze kuomba misaada kwa watanzania, mimi takachomjibu tamwambia nenda kamchangishe mmliki wa meza ya hotel Ibiza uliyolipia "dollar Euro 10,000"
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanasumbuaga sana , yan cjui hawana kawaida ya kujiwekea akiba na kujiunga na bima za matibabu... Hawa jamaa ni maskini wa akili..

Back
Top Bottom