Ibiza - Wikipedia, the free encyclopediaHiyo Ibiza ndio ni nini wakuu..?..hebu tupeni darasa kidogo kuhusu hiki kisiwa wakuu.
umeona eeeh!!Ila Ibiza jamani ! Ipo siku
Yaani acha tu [emoji4]umeona eeeh!!
haki ya mama tena!!Yaani acha tu [emoji4]
hahaaaaAcha kuwadanganya wa TZ ukifikiri wote ni wajinga na wewe ndie wa kwanza kwenda ibiza! Euro 10,000 to book a table? my foot! huo upuuuzi peleka kwenye magazeti ya udaku
Si bora hata akae nyumba ya kupanga, subiri siku augue aambiwe matibabu mil 5 aanze kuomba misaada kwa watanzania, mimi takachomjibu tamwambia nenda kamchangishe mmliki wa meza ya hotel Ibiza uliyolipia "dollar Euro 10,000"Wasanii wa bongo kwa sifa za kijinga bhana.. Unajisifia kulipa 25m alaf ukirud bongo jumba la kupanga.. Hata show yenyewe ukipiga hulipwi ivo...
Si bora hata akae nyumba ya kupanga, subiri siku augue aambiwe matibabu mil 5 aanze kuomba misaada kwa watanzania, mimi takachomjibu tamwambia nenda kamchangishe mmliki wa meza ya hotel Ibiza uliyolipia "dollar Euro 10,000"