Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
KAMA NI KWELI!!!!Hongera Sana Dimpo kwa kupiga picha na Rooney.
Kijana anapenda sana makuu na kwasababu hiyo namtizama tofauti in five years to come na kwa wengine haitakuwa suprise lakini ata jidhihirisha.Muongo sana huyo hata euro 1000 hazifiki, misifa yakiboya
...teh hee heee..mistari kuntu!Wasanii igiza, picha za Ibiza.
Promo kujibiza, janja nyingi mbele kiza.
Akili nahimiza, sivyo dunia italiza.
Tambo laning'iniza, si bata kwa Pizza.
Mamilioni Ibiza bila hata kibanda Sinza?
Habari inatatiza.
Bora wende Uvinza, chimba chumvi gawiza.
Dimpo ka Aziza.
Wannabe Yeezus!
Hautaniwi?Leo unalala jikoni.
Huo utani wa ngumi siutaki.Hautaniwi?
Basi ntaachaHuo utani wa ngumi siutaki.
picha ya utupu?Hongera Sana Dimpo kwa kupiga picha na Rooney.
Uwajui watu wa kigoma {Ujiji au buzeba zeba hadi uvinza huko} anaitwa Omary Nyembo.Kuna wabongo nawajua wanaishi Ibiza full summer, bata kwenda mbele kuanzia Mei mpaka september lakini hata kutundika picha Facebook kwa nadra sana. Lakini supastaa wetu kapita kupiga picha tu ataandikwa gazetini. Kuna watu wanapenda ujiko sio wao.
Umaarufu wajifanyisha, Wajinga kuwateka.Wasanii igiza, picha za Ibiza.
Promo kujibiza, janja nyingi mbele kiza.
Akili nahimiza, sivyo dunia italiza.
Tambo laning'iniza, si bata kwa Pizza.
Mamilioni Ibiza bila hata kibanda Sinza?
Habari inatatiza.
Bora wende Uvinza, chimba chumvi gawiza.
Dimpo ka Aziza.
Wannabe Yeezus!
[emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji40]Umaarufu wajifanyisha, Wajinga kuwateka.
Werevu twashangaa, uhayawani wajitakia.
Safari ya Ibiza, twaona waigiza.
Safari ya Ibiza, Mamilioni watumbua.
Ulimbukeni wa ujana, Utajiri kujifanyisha.
Dimpo kama Mwanaidi,
Kurembua kama Zuhura,
Kujipodoa kama Jackiline.