pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
Ommy dimpoz afukuzwa na Mashabiki Stejini. KTMA Tour Dodoma.
http://m.youtube.com/watch?gl=GB&hl=en&client=mv-google&v=lbS4cNI1TEs
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hahahaaa......Chezeya watu wewe..unaleta dharau wkt wao ndo wanakulisha
Maskini akipata____mpumbavu sana huyu dogo
Msanii Ommy dimpoz apigwa mawe na chupa kwenye show ya kili tour dodoma kwa kumdhihaki msanii aliyeipaisha dodoma,marehemu Albert Mangwea.
Ndo maana yake. Kwani yeye ndiye anapanga kifo?yan kamdhihaki vipi! au ndo ile aliyosema hawezi kufa maskini kama ngwair?