Ommy Dimpoz apigwa mawe na chupa

Ommy Dimpoz apigwa mawe na chupa

Status
Not open for further replies.
Heeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
Sumu tayar ishaingia......watu jamani.
 
Dogo analeta dharau. Ndio maana hata kundi la Kigoma all stars wamemtema.
 
Duh!! Raia wameshachoka sana, ukiwatibua tu wanakinukisha.
 
Chezeya watu wewe..unaleta dharau wkt wao ndo wanakulisha
 
Msanii Ommy dimpoz apigwa mawe na chupa kwenye show ya kili tour dodoma kwa kumdhihaki msanii aliyeipaisha dodoma,marehemu Albert Mangwea.

yan kamdhihaki vipi! au ndo ile aliyosema hawezi kufa maskini kama ngwair?
 
nasikia
wakati ndo anapanda jukwaani akaanza kujistukia atataka kuapologize
kwa alichokiongea,basi maraia wakaanza kumzomea kinoma huku
wakimuonyeshea kidole cha kati,walivyoona hashuki wakaanza kurusha
makopo, vyupa na mawe,ikabidi asande ashuke maana ilishakuwa
soo,wasanii wetu waangalie kauli zao wanaweza kukosa mashabiki
kabisa,over
 
lazima wajifunze namna ya kuongea kwenye kadamnasi. na si wasanii tu, hata viongozi pia.
 
Oya msameheni bure kashakosea bac .
Next time ajifunze kuongea mbele za watu halafu ikibidi awe anaandika kwanza cha kuzungumza co kuropoka .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom