Ommy Dimpoz apigwa mawe na chupa

Ommy Dimpoz apigwa mawe na chupa

Status
Not open for further replies.
Jamani ila mi naona hapo global shigongo kaleta fitna,pole sana dimpo mwenyewe ulikuwa unakuja vizuri.aliongea kwenye amplifaya kwamba jamaa wakati wanamtaka awepo kwenye tamasha lao la matumaini alitaka kiasi fulani cha pesa wao wakawa hawana au kwa kujua wasanii ni njaa angekubali hata kidogo jamaa ndipo aliposema 'mimi kiwango changu ndicho hicho mbpna hata album sina nategemea sanaa si mnaona wasanii wa muda mrefu dwanakufa mpaka tena kuchangishana lna hali zao za maisha,sitaki kufa kama......akataja jina la cowobama ndo kesho yake kwa hasira waenda kuyakuza vile,na hakusema vibaya.....wala kumaanisha vibaya,jamaa anawalaani sana hao jamaa,wanamharibia!
 
HESHIMA KITU CHA BURE. Nimshamba sana. Aibuuu kwakeeee....
 
Jamani ila mi naona hapo global shigongo kaleta fitna,pole sana dimpo mwenyewe ulikuwa unakuja vizuri.aliongea kwenye amplifaya kwamba jamaa wakati wanamtaka awepo kwenye tamasha lao la matumaini alitaka kiasi fulani cha pesa wao wakawa hawana au kwa kujua wasanii ni njaa angekubali hata kidogo jamaa ndipo aliposema 'mimi kiwango changu ndicho hicho mbpna hata album sina nategemea sanaa si mnaona wasanii wa muda mrefu dwanakufa mpaka tena kuchangishana lna hali zao za maisha,sitaki kufa kama......akataja jina la cowobama ndo kesho yake kwa hasira waenda kuyakuza vile,na hakusema vibaya.....wala kumaanisha vibaya,jamaa anawalaani sana hao jamaa,wanamharibia![/QUOT
lakini hata wakati anapokea tuzo ya killi juz,alitoa maneno flani ambayo yanaendana na hizo kauli na ni wiki hiyo hiyo cowobma alizikwa,mfano ''tanzania tumechoka kuzika wasanii maskini'',alitaka watu wamfikirie vp?
 
Oya msameheni bure kashakosea bac .
Next time ajifunze kuongea mbele za watu halafu ikibidi awe anaandika kwanza cha kuzungumza co kuropoka .

haswaaa,mana wanaropoka sana wakat kabla hajaimba anaandka ktk karatas il asome vzur,ngoja atapasuliwa tu
 
Jamani ila mi naona hapo global shigongo kaleta fitna,pole sana dimpo mwenyewe ulikuwa unakuja vizuri.aliongea kwenye amplifaya kwamba jamaa wakati wanamtaka awepo kwenye tamasha lao la matumaini alitaka kiasi fulani cha pesa wao wakawa hawana au kwa kujua wasanii ni njaa angekubali hata kidogo jamaa ndipo aliposema 'mimi kiwango changu ndicho hicho mbpna hata album sina nategemea sanaa si mnaona wasanii wa muda mrefu dwanakufa mpaka tena kuchangishana lna hali zao za maisha,sitaki kufa kama......akataja jina la cowobama ndo kesho yake kwa hasira waenda kuyakuza vile,na hakusema vibaya.....wala kumaanisha vibaya,jamaa anawalaani sana hao jamaa,wanamharibia!

Alikuwa na point sana ila kumtaja mtu tena marehemu aliyekufa katika mazingira magumu na yenye utata haikupendeza.
Watu walikuwa katika wimbi la majonz juu ya mtu wao alafu ww unaleta michongo hiyo lazima tu watatafsir vibaya.......!Wasanii wengi tu hawajui jins yakuongea katika media pindi wanapohojiwa.Pole yake sana ila ajifunze kitu kupitia lililompata.
 
Huyu jamaa ndiyo anaisha hivi labda atunge wimbo wa kuomba msamaha

"To know the enemy is half the victory"
 
Msanii Ommy dimpoz apigwa mawe na chupa kwenye show ya kili tour dodoma kwa kumdhihaki msanii aliyeipaisha dodoma,marehemu Albert Mangwea.

Pinda si amesharuhusu kuPIGA..!!? tutapigwa sana mwaka huu, we hukuona hata Mwigulu alivyotaka kumPIGA Msigwa..!?? yaani ni mwendo wa kuPIGA tu hadi akili itukae sawa.. we PIGA tu, hatuna namna ni kuPIGA tu.
 
yan anamtukana mzee master geto,labda akapige show nje ya tz,ila kwa tz mpango ndo huo paka atoe remix ya geto langu
 
Jamani ila mi naona hapo global shigongo kaleta fitna,pole sana dimpo mwenyewe ulikuwa unakuja vizuri.aliongea kwenye amplifaya kwamba jamaa wakati wanamtaka awepo kwenye tamasha lao la matumaini alitaka kiasi fulani cha pesa wao wakawa hawana au kwa kujua wasanii ni njaa angekubali hata kidogo jamaa ndipo aliposema 'mimi kiwango changu ndicho hicho mbpna hata album sina nategemea sanaa si mnaona wasanii wa muda mrefu dwanakufa mpaka tena kuchangishana lna hali zao za maisha,sitaki kufa kama......akataja jina la cowobama ndo kesho yake kwa hasira waenda kuyakuza vile,na hakusema vibaya.....wala kumaanisha vibaya,jamaa anawalaani sana hao jamaa,wanamharibia!

Jambo zuri ukilifanya wakati au sehemu isiyo sahihi huwa baya. Huyu anaweza kuwa alikuwa na hoja lakini haukuwa wakati sahihi kuyasema hayo.
 
he deserved that why should they cut off a hear.
 
wanamuzik weng hawajui kuongea kashindwa kutumia kiswahili vizuri wa2 wakashindwa kumuelewa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom