Ommy Dimpoz Atoa dukuduku lake Baada ya Kutoa Ngoma Yake ya Kajiandae

Kumbe dimpoz kwa pozi nae ana wivu wa kitoto kiac hicho, kwel nae hana akili
Hana wivu, nimeona hiyo interview dimpoz kaongea in good faith na ni somo zuri kwa vijana,
integrity kwa watoto wa Tanzania ni zero.
 
Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanachezasha idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
 
Mbona dimpoz hajamsema mtu yoyote?
Ukiona video ya hii interview utakuja kufuta hii post yako kimya-kimya kwa aibu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyimbo ya kajiandae haina vibes hata ikipigwa clabs beat yake producer alimuibia pesa
Ommy dimpoz alitarajia ngoma itateka lakini imekuwa tofauti
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] C ndo hapo na sasa hivi wamegundua kwamba ukimshirikisha Ali kiba katika nyimbo yako basi team kiba yote itahamia youtube kuangalia nyimbo yako ata kama ni mbaya
 
Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanacheza idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
Ww na dimpoz akili zenu hazitofautiani
 
Yap true ghost followers wapo wengi sana yan eti kisa msanii una 10 milion followers bac ukipost video o pic ndo utegemee utapata likes 9 or 8 milion hiyo ni ngumu sana
 
Kwahiyo wananunua Followers, Subscribers, Viewers, na Tuzo daaah basi wana hela sana. Anyway, wewe Ommy Dimpoz ulitoa sh. ngapi kununua viewers wa wanjera na mimi ninunue? Maana nna kavideo kangu U-Tube kana viewers 263 mwaka wa pili sasa
Nenda kwa babu loliondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap true ghost followers wapo wengi sana yan eti kisa msanii una 10 milion followers bac ukipost video o pic ndo utegemee utapata likes 9 or 8 milion hiyo ni ngumu sana
Wakiambiwa domo ana mkwanja mwingi wanakataa lkn baada ya apo utasikia kanunua viewers utube utasikia kanunu tuzo mara kanunua follower mara kamlipa tekno ampe gwara fiesta waswahili baba hawakosi lakusema
 
Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanachezasha idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
Sasa wewe bwana daudi unafikir kamuongelea nani hapo kuhusu kununua viewers huko youtube davido o wizkid?
 
wew nenda kaangalie like za selena gomez na uangalie follower wako wangapi....ukiwa mtanzania shida dana
 
Wakiambiwa domo ana mkwanja mwingi wanakataa lkn baada ya apo utasikia kanunua viewers utube utasikia kanunu tuzo mara kanunua follower mara kamlipa tekno ampe gwara fiesta waswahili baba hawakosi lakusema
Yani yote hiyo ni chuki n wivu ambao mwisho wa siku hau wasaidii ata kidogo
 
Ommy hajamtaja mtu yeyote kwenye ile interview, isipokuwa tu watu wanajishtukia kwa sababu Diamond na WCB ndo wenye views nyingi bongo.

Ila kama Ommy alimaanisha Diamond pia siwezi kushangaa kwa sababu siyo mara ya kwanza Ommy kumponda D ingawa huwa anazunguka, hawi straight.

Isipokuwa ninachoamini ni kwamba views za D ni za ukweli ndo maana kapewa tuzo ile na Google ambao ni watu lazima wajiridhishe na authenticity ya hizo views.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…