Ommy Dimpoz Atoa dukuduku lake Baada ya Kutoa Ngoma Yake ya Kajiandae

Labda kwa mtu aliyejitoa akili tu ndio anaweza asijue nani anazungumziwa hapo! Wewe unafikiri ata wasema wengine ambao wanafikisha mwezi hata viewers million 1 haijafika?
anyway tufanye hajataja mtu!
huyo anae nunua anafanya hivo ili afaidi nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee sasa kwani hiyo ni kesi yeye katoa dukuduku lake Mimi na wewe sidhani Kama tuna la kukataa au kukubali
 
Hii mentality ya kuchukia mafanikio ya mtu fulani itawamaliza wasanii wengi sana. Wanajawa na mawazo hasi hadi wanakosa ubunifu, vision na confidence.
 
Kwahiyo wananunua Followers, Subscribers, Viewers, na Tuzo daaah basi wana hela sana. Anyway, wewe Ommy Dimpoz ulitoa sh. ngapi kununua viewers wa wanjera na mimi ninunue? Maana nna kavideo kangu U-Tube kana viewers 263 mwaka wa pili sasa
Hahahaaaa
 
Nyimbo ya kajiandae ilijiandaa kushindwa
Haaa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanachezasha idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
Hakuna mtu anaenunua viewers mkuu, mpaka ww unadanganyika???
 
Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanachezasha idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
Wewe kuna kitu unakijua kuhusu kununua viewers wengine hatukijui,hebu tafadhari sana nipo chini ya miguu yako hebu tupe utaratibu wa kununua upoje kuanzia mwanzo hadi mwisho wa hiyo biashara inakuwaje,na ni sh'ngapi ........ Lakini pia si vibaya ukatuambia hao wanunuzi wananufaika na nini kwenye hayo manunuzi,mana hakuna anayetoa pesa yake bila sababu.
 
Wasanii wa siku hizi bana yani kila anaetaka kurudi kwenye game lazma atoke kwa kutembelea nyota ya chibu....ndo shida ya mziki kuingiliwa na macho.ko
 
Jana kuna kitu humu nilikiona penye uzi wa lara 1 kulikuwa na views 19230 lakini comments zilikuwa 200 unanishawishi niamini ulichokiandika na kuna hadithi ya paniela ilikuwa na views 77120 kwa waqt huo na comments hazikuzidi 2000 sasa sijui nimekuelewa au nazeeka vibaya?
 
Kumbe inawezekana kununua viewers..mapovu ya nini??
 
Kwani ye kakatazwa kununua tatizo kanajifanya kameunga urafiki na kibakuli kamesha rithishwa kulialia na kulalamika na kupenda vya mtelezo mijitu ya ajabu hii kila mtu anataka afie kwa chibu we omymsambwanda endelea kumhudumia mme wako tu madogo washakisanua kina rayvany ushapoteaa wee endelea kumkatia uno mwarabu
 
Upuuzwi mkubwa alioandika, hawajipigi kujipromote na kazi zao wako busy kulalamika.

Wanatia aibu ni majanga ya nchi yeye na yeyote anayefikiria kama yeye.
 
Views wanatokana na kazi nzuri ya msanii pamoja na support ya fans wake.......

Ommy anatoa ngoma za kichwala anategemea views 5million kweli???????

Kwanza ommy kwny wasanii wakali Tz kwny list yang mm hayumo,,,,,,

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Anunue na yeye basi Kama hana hela apige kimya
 
mimi ni mtaalam wa youtube na nimewatengenezea baadhi ya wasanii accounts za youtube....kwenye website au channel ya youtube huwezi kununua trafic kwenye channel yenye matangazo ya google kama diamond au huwezi kutuma fake traffic kwenye channel yenye matangazo kama ya google na ukifanya hivyo google watakufungia account yako hata mwezi hautaisha...
*****MUHIMU******
1. Channel ya diamond youtube ndio bora na inayoheshimiza zaidi Tanzania nadhani na East Africa na ile ni verified na inalindwa sana na google.. Angalia ina kialama cha tiki tofauti na account nyingine.. Mpaka google wakaamua kumpa tuzo diamond wameshaikagua na kuona ina viewers original na sio wa kununua.. Kifupi ukiona video ya youtube ina matangazo ya google hapo ujue hakuna viewers wa kununua na ukijaribu kutuma fake traffic hata mara moja channel inafungiwa matangazo...Channel ya diamond haina viewer hata mmoja wa kununua kwa kua ina matangazo ya google.. Tatizo hawa wasanii wanaongea upuuzi na hawana elimu yoyote kuhusu technology ya youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…