Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hizo team mavi mnazo huko dar.Mkuu huwa naangalia sana unavyochangia mada unaonekana una u team flan hiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo team mavi mnazo huko dar.Mkuu huwa naangalia sana unavyochangia mada unaonekana una u team flan hiv
Bongo balaaaNaona jiwe limetupwa gizani litakayempata ndo huyo huyo, kumbe view zinanunuliwa....kweli bongo nyoso
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee sasa kwani hiyo ni kesi yeye katoa dukuduku lake Mimi na wewe sidhani Kama tuna la kukataa au kukubaliLabda kwa mtu aliyejitoa akili tu ndio anaweza asijue nani anazungumziwa hapo! Wewe unafikiri ata wasema wengine ambao wanafikisha mwezi hata viewers million 1 haijafika?
anyway tufanye hajataja mtu!
huyo anae nunua anafanya hivo ili afaidi nini?
HahahaaaaKwahiyo wananunua Followers, Subscribers, Viewers, na Tuzo daaah basi wana hela sana. Anyway, wewe Ommy Dimpoz ulitoa sh. ngapi kununua viewers wa wanjera na mimi ninunue? Maana nna kavideo kangu U-Tube kana viewers 263 mwaka wa pili sasa
Haaa haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyimbo ya kajiandae ilijiandaa kushindwa
Hakuna mtu anaenunua viewers mkuu, mpaka ww unadanganyika???Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanachezasha idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
Wewe kuna kitu unakijua kuhusu kununua viewers wengine hatukijui,hebu tafadhari sana nipo chini ya miguu yako hebu tupe utaratibu wa kununua upoje kuanzia mwanzo hadi mwisho wa hiyo biashara inakuwaje,na ni sh'ngapi ........ Lakini pia si vibaya ukatuambia hao wanunuzi wananufaika na nini kwenye hayo manunuzi,mana hakuna anayetoa pesa yake bila sababu.Acheni kukurupuka.
Ommy dimpoz hajamtaja diamond,
Imebainika watu wanachezasha idadi ya viewers na sio Tanzania tu na inakua ni kujidanganya kwakuwa halipwi kwa hizo namba fake alizojiongezea ila wanakua wanaamini ni sifa .....
Wasanii wa siku hizi bana yani kila anaetaka kurudi kwenye game lazma atoke kwa kutembelea nyota ya chibu....ndo shida ya mziki kuingiliwa na macho.koMsanii wa muziki Ommy Dimpoz amedai kuna baadhi ya wasanii wananunua views katika mtandao wa YouTube ili video zao zionekane zimeangaliwa zaidi.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba amedai yeye hawezi kufanya mchezo wa kununua views kama baadhi ya watu wanavyofanya.“Mimi nataka kutoa wito maana siku hizi watu ‘wanachiti’ sana hususan kwenye mambo ya views YouTube,” Ommy alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.
“Mimi ningewaambia kitu kimoja fanya ngoma kali video acha watu waangalie,” “kwa sababu naongea kwa uzoefu wangu mimi na video yangu ‘Wanjera’ ilikuwa na views laki tisa, kuna mtu mmoja akaniambia siwezi kumsema ni nani ila aliniambia bwana vipi unataka views YouTube? Nikamuuliza views YouTube kivipi, akaniambia hebu nitumie link ya video yako. So mimi nilikuwa nataka kuprove nikamtumia link ya ‘Wanjera’ na ilikuwa na views laki tisa na elfu nne hivi lakini baada ya kumtumia masaa sita baadae akaniambia angalia kuangalia nakuta na milioni moja,” alifafanua zaidi.
Muimbaji huyo amedai hatua hiyo ilimfanya agundue ni kweli kuna baada ya watu wananunua views YouTube.
Video mpya na muimbaji huyo aliyoshirikiana na Alikiba ina views 607,967 ikiwa na inaelekea wiki ya pili toka iwekwe katika mtandao wa YouTube.
hAHAhaha Mziki Unaelekea Mgumu Sana Bwana Dimpoz Hapa nadhani Unawachokonoa wafuasi wa Simba
Source: Bongo5 & Times fm
Jana kuna kitu humu nilikiona penye uzi wa lara 1 kulikuwa na views 19230 lakini comments zilikuwa 200 unanishawishi niamini ulichokiandika na kuna hadithi ya paniela ilikuwa na views 77120 kwa waqt huo na comments hazikuzidi 2000 sasa sijui nimekuelewa au nazeeka vibaya?Acha kudanganya watu wewe, mtu kuwa na likes chache haina maana amenunua follows
Mfano selena gomes instagram ana follows zaidi ya 100m lakini akiweka pic au video likes hazizidi milioni 7 , maana yake ni kwamba sio wote wanaoona pic huwa wanalike, wengine ni ghost follows wao kazi yao ni kuangalia pic au kusoma ulichoandika then wanapita zao hawana muda wa ku like wala kucomment
Kumbe inawezekana kununua viewers..mapovu ya nini??Kwenye mathematics Kuna kitu kinaitwa directly proportional yaani, kama variable ya left side ikiongezeka basi na right side itaongezeka, simple diamond ana followers wengi, likes nyingi, subscriber wengi, show za kumwaga, Bila shaka views watakuwa wengi, alafu mjue mpaka YouTube wameweka awards zao wanalijua hili tatizo na ndio maana huwa wanahakiki viewers na subscribers kama wakigundua wanaiburn account yako, ndio maana ya awards hizo kabla hawajatoa lazima uhakiki ufanyike kuepuka ujanja ujanja, diamond sio viewers tu mpaka mauzo iTunes kwa wasanii wa East Africa anakimbiza, akifuatiwa na eddy kenzo. Ommy we mtoto wa kiume ilo swala ni uzushi kama ngoma imebuma usitafute visingizio, kaa Chini tafakari toa nyingine, we diamond platnumz mpaka wasanii waliomshirikisha video zao zina viewers wengi ambao hawajawahi kuwapata (Jah preyhah, akothee, harmonize, chege na mpaka audio yake ya helo imesikilizwa mara zaidi ya laki nane). Inamaana hawa nao anawanunulia, aache kulalamika afanye kazi kila kitu kinawezekana.Kwa wale kidogo ngeli inapanda waitembelee hii link ya website ya YouTube, Kuna maneno yanasema
'' Views generated by some third-party businesses and services will not be counted or reflected on YouTube, and can lead to disciplinary action against your account, including removal of the video or account suspension.''
ukishasoma na kuipitia hii page nzima,utaona anachokisema ommy dimpoz ni upuuzi, chuki na wivu waki uke wenza.
Increase YouTube views - YouTube Help
sawa basi huo utaratibu wa kununua viewers ukoje! nimeona hata hajataka kufafanua!Dimpoz hajawasema washindi wa tuzo za YouTube.
Tafuta video ya interview usijadili kutokea hewani.
Anunue na yeye basi Kama hana hela apige kimyaMsanii wa muziki Ommy Dimpoz amedai kuna baadhi ya wasanii wananunua views katika mtandao wa YouTube ili video zao zionekane zimeangaliwa zaidi.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba amedai yeye hawezi kufanya mchezo wa kununua views kama baadhi ya watu wanavyofanya.“Mimi nataka kutoa wito maana siku hizi watu ‘wanachiti’ sana hususan kwenye mambo ya views YouTube,” Ommy alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.
“Mimi ningewaambia kitu kimoja fanya ngoma kali video acha watu waangalie,” “kwa sababu naongea kwa uzoefu wangu mimi na video yangu ‘Wanjera’ ilikuwa na views laki tisa, kuna mtu mmoja akaniambia siwezi kumsema ni nani ila aliniambia bwana vipi unataka views YouTube? Nikamuuliza views YouTube kivipi, akaniambia hebu nitumie link ya video yako. So mimi nilikuwa nataka kuprove nikamtumia link ya ‘Wanjera’ na ilikuwa na views laki tisa na elfu nne hivi lakini baada ya kumtumia masaa sita baadae akaniambia angalia kuangalia nakuta na milioni moja,” alifafanua zaidi.
Muimbaji huyo amedai hatua hiyo ilimfanya agundue ni kweli kuna baada ya watu wananunua views YouTube.
Video mpya na muimbaji huyo aliyoshirikiana na Alikiba ina views 607,967 ikiwa na inaelekea wiki ya pili toka iwekwe katika mtandao wa YouTube.
hAHAhaha Mziki Unaelekea Mgumu Sana Bwana Dimpoz Hapa nadhani Unawachokonoa wafuasi wa Simba
Source: Bongo5 & Times fm
mimi ni mtaalam wa youtube na nimewatengenezea baadhi ya wasanii accounts za youtube....kwenye website au channel ya youtube huwezi kununua trafic kwenye channel yenye matangazo ya google kama diamond au huwezi kutuma fake traffic kwenye channel yenye matangazo kama ya google na ukifanya hivyo google watakufungia account yako hata mwezi hautaisha...Msanii wa muziki Ommy Dimpoz amedai kuna baadhi ya wasanii wananunua views katika mtandao wa YouTube ili video zao zionekane zimeangaliwa zaidi.