Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

kumbeee tushajua mnajifanya mnaenda ulaya sijui us kwenye bonge la show kumbe mnaondoka na visa za kutembelea ndugu
ndo maana show zenyewe mnafanya sebuleni
 
[TABLE="class: grid, width: 367"]
[TR]
[TD="width: 55"]B
[/TD]
[TD="width: 312"]Visitor Visa: Business, Tourism, Medical treatment ($160)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: grid, width: 367"]
[TR]
[TD="width: 55"]P
[/TD]
[TD="width: 312"]Athletes. Artists & Entertainers ($190)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Daaa hii ni aibu kabisa yani anakwepa dallar 30tuu?kwani show haikuwa inalipa?
 
Teh Teh ujanja alidhani ana kwenda Dar live
kumbeee tushajua mnajifanya mnaenda ulaya sijui us kwenye bonge la show kumbe mnaondoka na visa za kutembelea ndugu
ndo maana show zenyewe mnafanya sebuleni
 
Alidhani anaenda mlimani city

Teh Teh alidhani ana kwenda Dar live! Lakini tatizo ni ujanja ujanja wa kibongo wamezoea kutofata utaratibu....maana alikuwa ana kwepa dollar $31 tuu
 
Kashindwa kujieleza kwa kuiingereza akaeleweka..na hivi baba yenu JK kazindua sera ya kufundishana kiswahili mpaka chuo kikuu haki ya mungu hata malawi tu hamtakaa mkanyage...mxxxxxx
 
Swala si kujieleza bali ni kufata utaratibu!
Kashindwa kujieleza kwa kuiingereza akaeleweka..na hivi baba yenu JK kazindua sera ya kufundishana kiswahili mpaka chuo kikuu haki ya mungu hata malawi tu hamtakaa mkanyage...mxxxxxx
 
Masikini sijui hilo gundu kalitoa wapi
Maana mara zote anaenda nakurudi fresh kulikoni hii ya sasa awe makini asije haribu kibarua chake
Mazoea... labda kv aliona mara kwa mara huwa anaenda na kupiga show basi kuna baadhi ya mambo akayapuuza kuyafanyia kazi.
 
Sasa ccm wa New York watafanyaje na promo zote maana wapo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…