Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[TABLE="class: grid, width: 367"]
[TR]
[TD="width: 55"]B
[/TD]
[TD="width: 312"]Visitor Visa: Business, Tourism, Medical treatment ($160)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: grid, width: 367"]
[TR]
[TD="width: 55"]P
[/TD]
[TD="width: 312"]Athletes. Artists & Entertainers ($190)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
kumbeee tushajua mnajifanya mnaenda ulaya sijui us kwenye bonge la show kumbe mnaondoka na visa za kutembelea ndugu
ndo maana show zenyewe mnafanya sebuleni
Alidhani anaenda mlimani city
Daaa hii ni aibu kabisa yani anakwepa dallar 31 tuu?kwani show haikuwa inalipa?
Teh Teh alidhani ana kwenda Dar live! Lakini tatizo ni ujanja ujanja wa kibongo wamezoea kutofata utaratibu....maana alikuwa ana kwepa dollar $31 tuu
Kashindwa kujieleza kwa kuiingereza akaeleweka..na hivi baba yenu JK kazindua sera ya kufundishana kiswahili mpaka chuo kikuu haki ya mungu hata malawi tu hamtakaa mkanyage...mxxxxxx
Mazoea... labda kv aliona mara kwa mara huwa anaenda na kupiga show basi kuna baadhi ya mambo akayapuuza kuyafanyia kazi.Masikini sijui hilo gundu kalitoa wapi
Maana mara zote anaenda nakurudi fresh kulikoni hii ya sasa awe makini asije haribu kibarua chake
Upo we mtoto?!Alidhani anaenda mlimani city
Aisee
Nasikia viza aliyokuwa amekata haikuwa ina mruhusu kufanya show nchini marekani!
Masikini sijui hilo gundu kalitoa wapi
Maana mara zote anaenda nakurudi fresh kulikoni hii ya sasa awe makini asije haribu kibarua chake
Teh Teh ujanja alidhani ana kwenda Dar live