Huu sio ujanja ni ujinga tu.
Teh Teh amezoea ujanja ujanja wa hapa bongo
Aisee kwenda Marekani sio kazi ya kitoto ndio maana tukiendaga kule haturudi kutokana na mizengwe tunayoipata kuanzia visa mpaka entry.wale wamarekani wanasumbua sana kuingia kwao.huwa wanataka uje utembelewe wewe sio wewe ndo uende kwao.yaani unanyimwa visa eti kwasababu wanahisi tu utazamia.just by looking at you on the face wanajua wewe hautorudi
Apo xaxa ndo utaona watanzania wakifurahi baada ya dimpoz kuludshwa tz bila kupiga show....dah
Aisee kwenda Marekani sio kazi ya kitoto ndio maana tukiendaga kule haturudi kutokana na mizengwe tunayoipata kuanzia visa mpaka entry.wale wamarekani wanasumbua sana kuingia kwao.huwa wanataka uje utembelewe wewe sio wewe ndo uende kwao.yaani unanyimwa visa eti kwasababu wanahisi tu utazamia.just by looking at you on the face wanajua wewe hautorudi
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Safari ya Ommy Dimpoz kuelekea Vegas, Marekani kwa ajili ya kupiga show imeishia airport ya marekani, baada y akuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa na ndege inayofata.Habari zilizotufikia ni kuwa Dimpoz amerudishwa na kukataliwa kuingia ndani ya Marekani kwa kushindwa kufata msharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT]
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]
Baada ya kuongea na meneja wake Mubenga amesema, yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na alijaribu kumtafuta bila mafanikio na sio kawaida ya Ommy kutokumjulisha kama amefika katika safari zake.CHANZO : BONG M