Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

Apo xaxa ndo utaona watanzania wakifurahi baada ya dimpoz kuludshwa tz bila kupiga show....dah
 
Nimejisikia kumuonea huruma tu sijui tatizo hasa nini.
 
Aisee kwenda Marekani sio kazi ya kitoto ndio maana tukiendaga kule haturudi kutokana na mizengwe tunayoipata kuanzia visa mpaka entry.wale wamarekani wanasumbua sana kuingia kwao.huwa wanataka uje utembelewe wewe sio wewe ndo uende kwao.yaani unanyimwa visa eti kwasababu wanahisi tu utazamia.just by looking at you on the face wanajua wewe hautorudi
 
Teh Teh amezoea ujanja ujanja wa hapa bongo

Teh teh kumbe huko anakoenda hakuna ujanja ujanja poor thing nadhani inakuwa na gharama kama sehemu ya kodi pia as atapata Pesa kwenye hiyo shughuli sasa itakuwaje? I can imagine waliojiandaa na kuserebuka huko
 
Aisee kwenda Marekani sio kazi ya kitoto ndio maana tukiendaga kule haturudi kutokana na mizengwe tunayoipata kuanzia visa mpaka entry.wale wamarekani wanasumbua sana kuingia kwao.huwa wanataka uje utembelewe wewe sio wewe ndo uende kwao.yaani unanyimwa visa eti kwasababu wanahisi tu utazamia.just by looking at you on the face wanajua wewe hautorudi

Wangejua siku hizi wabongo tumetulia home Neema kibao huko ni kwenda kuosha macho tu
 
Apo xaxa ndo utaona watanzania wakifurahi baada ya dimpoz kuludshwa tz bila kupiga show....dah

Nimeangalia kwenye page ya clouds radio Facebook watu wamefurahi sana hakuna ata mtu mmoja aliosikitika
 
Aisee kwenda Marekani sio kazi ya kitoto ndio maana tukiendaga kule haturudi kutokana na mizengwe tunayoipata kuanzia visa mpaka entry.wale wamarekani wanasumbua sana kuingia kwao.huwa wanataka uje utembelewe wewe sio wewe ndo uende kwao.yaani unanyimwa visa eti kwasababu wanahisi tu utazamia.just by looking at you on the face wanajua wewe hautorudi

tena ukiwa kijana ndio unaangaliwa kwa macho matatu
 
Safari ya Ommy Dimpoz kuelekea Vegas, Marekani kwa ajili ya kupiga show imeishia airport ya Marekani, baada ya kuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa na ndege inayofata. Habari zilizotufikia ni kuwa Dimpoz amerudishwa na kukataliwa kuingia ndani ya Marekani kwa kushindwa kufata masharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.

Baada ya kuongea na meneja wake Mubenga amesema, yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na alijaribu kumtafuta bila mafanikio na sio kawaida ya Ommy kutokumjulisha kama amefika katika safari zake

CHANZO: BONG M
 
Ayaaaaaaa tunaleta usanii kwenye nchi za wenzetu? Hayo yanawezekana Bongo tu mtu ana Work permit ambayo ni exempt lakini anapiga dili kama kawaida, kama mtu huamini nenda kaangalie watu kwenye NGOs ambao wanahizo work permit za namna hio lakini wana miradi kibao hapa bongo
 
Akuwa na mkataba was show,wala official tour plan.WTZ huwa kila kitu tunafanya bora liende.atuna real promoters Kama wenzetu wana Kenya au wanigerians.wenzetu promoters wana docs zinazo waruhusu kufanya kazi ktk nchi husika.Huyu alienda tu Kama anaenda tembelea mmjomba ake kimanzichana.USA embassy wana culture attachee,why awakuwausisha?
 
Afanyiwa kitu kibaya nikajua amefuniwa na kupigwa kumbe kuzuia kufanya kwa sababu ya visa hilo mbona LA kawaida tuu
 
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Safari ya Ommy Dimpoz kuelekea Vegas, Marekani kwa ajili ya kupiga show imeishia airport ya marekani, baada y akuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa na ndege inayofata.Habari zilizotufikia ni kuwa Dimpoz amerudishwa na kukataliwa kuingia ndani ya Marekani kwa kushindwa kufata msharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

Baada ya kuongea na meneja wake Mubenga amesema, yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na alijaribu kumtafuta bila mafanikio na sio kawaida ya Ommy kutokumjulisha kama amefika katika safari zake.CHANZO : BONG M

Ndo mvao gani huo? Mbona kana kajifunga mapampers?
 
moderator.

hii kitu inajukwaa lake.
kama sio mastaa itakuwa burUdani.
 
Back
Top Bottom