muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Afanyiwa kitu kibaya nikajua amefuniwa na kupigwa kumbe kuzuia kufanya kwa sababu ya visa hilo mbona LA kawaida tuu
Wabongo mmezoea kusikia kitu mbaya ni kupigwa lakini dhana hiyo kwa wenzetu ni mbaya zaidi tuache kukalilisha ubongo
Kwa hiyo niyeye alijikanyaga kwenye maelezo au marekan hawakubali msanii kwenda kwao na kuwa na visa ya kawaida
Swala si kujieleza bali ni kufata utaratibu!
Mwanamziki Ommy Dimpoz amerudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kokosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo.
Chanzo: Clouds
- Alitakiwa kuwa na viza ya kazi ili alipie kodi show zake, mapromota ndio waliompoza kwa kutaka kukwepa kulipa kodi, kuna promota mwenzao mbongo amewachoma kwa uhamiaji ndio maana Dimpoz alipoulizwa amekwenda kufanya nini akajibu kutembea wakamuonyesha fliers zake za show, mchezo ukaishia hapo hapo nani aliwapa uhamiaji ya USA fliers za show za Dimpoz? hahahaha wabongo bwana kama kawaida yetu!!
Le Mutuz
Aliongea kiswahili ambayo ni,lugha yetu ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu
Teh Teh
ha ha ha mi mwnyewe nlikua najiuliza atakua kalitoa wapi???Akuuu mie nashangaa mbona yamekuwa haya wakati kila muda twasikia wakienda vizuri na kurudi vizuri
Evelyn Salt
- Alitakiwa kuwa na viza ya kazi ili alipie kodi show zake, mapromota ndio waliompoza kwa kutaka kukwepa kulipa kodi, kuna promota mwenzao mbongo amewachoma kwa uhamiaji ndio maana Dimpoz alipoulizwa amekwenda kufanya nini akajibu kutembea wakamuonyesha fliers zake za show, mchezo ukaishia hapo hapo nani aliwapa uhamiaji ya USA fliers za show za Dimpoz? hahahaha wabongo bwana kama kawaida yetu!!
Le Mutuz
Nadhani suala hapa ni ukweli. Hao wabongo waliowastua Immigration wamekuwa wakweli zaidi kuliko Dimpoz!. Huu uongo uongo ndio unalitafuna hata taifa letu!.
Unajuwa ni tatizo la ufahamu mkuu
Yeye alichotakiwa kufanya wakati akihojiwa ni kuwaeleza kuwa anaenda us kwa matembezi
Sasa inaonekana alitaka kuleta ujuwaji ili aonekane naye ni msanii kumbe mambo hayaendi hivyo
Hata hivyo waliompa mwaliko ni kama walimfanyia makusudi maana hii mambo mbona ipo wazi tu
Kupata visa sio sababu ya 100% kuingia nchi husika
Unaweza kuwa na viza na pia wakakuzuia kwa maelezo finyu kama ya Dimpz
Alidhani USA ni kama unaingia maisha club.
Nasikia ukitaka kwenda kufanya show US viza ni gharama kidogo kuliko mtu anaye kwenda kufanya matembezi! Sasa bila shaka alipo kosea ni pale alipo kata viza tofauti na alipo hojiwa akasema ana kwenda kufanya show na wakiangalia Visa haimruhusu kwa hiyo wakamzuia! Tatizo ni ujanja ujanja wa kibongo.