Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

Afanyiwa kitu kibaya nikajua amefuniwa na kupigwa kumbe kuzuia kufanya kwa sababu ya visa hilo mbona LA kawaida tuu

Wabongo mmezoea kusikia kitu mbaya ni kupigwa lakini dhana hiyo kwa wenzetu ni mbaya zaidi tuache kukalilisha ubongo
 
Wabongo mmezoea kusikia kitu mbaya ni kupigwa lakini dhana hiyo kwa wenzetu ni mbaya zaidi tuache kukalilisha ubongo

Sasa akili yako unapofikiria amefanyiwa kitu kibaya unawaza nini
 
Yaani safari ile ilivyokuwa ndefu, halafu unafika unageuzwa tena kuikatiza kwa mara nyingine, Atlantic na Mediterranean ocean within a day, utafika ukiwa mzoga kabisa. Pole yake!.
 
Baadhi ya watu wamefurahia icho kitendo cha dimpoz kuludshwa tz bila show.....duh inaumiza xana
 
Hiyo picha alipiga akiwa uholanzi anasubiri kuunganisha ndege Kwenda marekani na aliweka kwenye mtandao,baada ya hapo raia wakaona kimya sana ndio ikabid kufatilia ndio hivyo tena
 
Kwa hiyo niyeye alijikanyaga kwenye maelezo au marekan hawakubali msanii kwenda kwao na kuwa na visa ya kawaida

Aliongea kiswahili ambayo ni,lugha yetu ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu
 
OMMYD.jpg

Mwanamziki Ommy Dimpoz amerudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kokosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo.

Chanzo: Clouds

- Alitakiwa kuwa na viza ya kazi ili alipie kodi show zake, mapromota ndio waliompoza kwa kutaka kukwepa kulipa kodi, kuna promota mwenzao mbongo amewachoma kwa uhamiaji ndio maana Dimpoz alipoulizwa amekwenda kufanya nini akajibu kutembea wakamuonyesha fliers zake za show, mchezo ukaishia hapo hapo nani aliwapa uhamiaji ya USA fliers za show za Dimpoz? hahahaha wabongo bwana kama kawaida yetu!!

Le Mutuz
 
Sasa ninacho jiuliza kilicho mfanya kukwepa dollar 190 ni nini? Swala si kuchomewa na wabongo swala kwanini msanii kama dimpoz hataki kufata utaratibu?
 
Nadhani nilimsikia akihojiwa kwa kutahadharishwa juu ya sintofahamu ya hiyo safari yake, like..a'mbona visa imepanda ikashuka blah blaha'...kama kawaida ya wasanii na wanasiasa wetu wao ni kukanusha tu...so nadhani alichukulia poa ishu ambayo ni serious na sasa yamemkuta.
 
- Alitakiwa kuwa na viza ya kazi ili alipie kodi show zake, mapromota ndio waliompoza kwa kutaka kukwepa kulipa kodi, kuna promota mwenzao mbongo amewachoma kwa uhamiaji ndio maana Dimpoz alipoulizwa amekwenda kufanya nini akajibu kutembea wakamuonyesha fliers zake za show, mchezo ukaishia hapo hapo nani aliwapa uhamiaji ya USA fliers za show za Dimpoz? hahahaha wabongo bwana kama kawaida yetu!!

Le Mutuz

Nadhani suala hapa ni ukweli. Hao wabongo waliowastua Immigration wamekuwa wakweli zaidi kuliko Dimpoz!. Huu uongo uongo ndio unalitafuna hata taifa letu!.
 
Nadhani suala hapa ni ukweli. Hao wabongo waliowastua Immigration wamekuwa wakweli zaidi kuliko Dimpoz!. Huu uongo uongo ndio unalitafuna hata taifa letu!.

hatuwezi kuwalaumu wabongo kwa ujinga wa Dimpoz kisa kukwepa dolla 30! ina maana show ilikuwa hailipi kiasi cha kufanya akwepe gharama! katika hili ni aibu!
 
Unajuwa ni tatizo la ufahamu mkuu
Yeye alichotakiwa kufanya wakati akihojiwa ni kuwaeleza kuwa anaenda us kwa matembezi
Sasa inaonekana alitaka kuleta ujuwaji ili aonekane naye ni msanii kumbe mambo hayaendi hivyo
Hata hivyo waliompa mwaliko ni kama walimfanyia makusudi maana hii mambo mbona ipo wazi tu
Kupata visa sio sababu ya 100% kuingia nchi husika
Unaweza kuwa na viza na pia wakakuzuia kwa maelezo finyu kama ya Dimpz

Alidhani USA ni kama unaingia maisha club.

Nasikia ukitaka kwenda kufanya show US viza ni gharama kidogo kuliko mtu anaye kwenda kufanya matembezi! Sasa bila shaka alipo kosea ni pale alipo kata viza tofauti na alipo hojiwa akasema ana kwenda kufanya show na wakiangalia Visa haimruhusu kwa hiyo wakamzuia! Tatizo ni ujanja ujanja wa kibongo.

Watanzania wana matatizo makubwa kuliko mnavyodhani.

Kuna rafiki yangu pumbavu fulani jinga kabisa lilikuja Bongo likiwa na passport ya Marekani basi kwa uzuzu na ulimbukeni kila hotel tukienda lenyewe linaona sifa kutoa US Passport matokeo yake kinakosa prevallige za wazawa linachajiwa kama mzungu mimi nachajiwa kizalendo.

Nina uhakika pale airport Marekani mahojiano yalikuwa hivi;

Immigration officer: Hellow mr Dempoz why u came to US?

Ommy dempoz: You know i have big show, big concert in America and my President Kikwete he select me to perform in Ameria for Ccm Celebrates.

So far i have big project with Wema you can follow me in Insta.

Immigration officer: Ok Mr Dimpoz wait there seat on the coach wait for the next flight back to your country.
 
Ommy kama mwanasiasa kapewa zaidi ya dakika kumi, kajieleza weeeeee kuwa taarifa sio za kweli blah blah...lakini cha ajabu hitimisho bado ni hakufika alipokuwa anaenda na amerudi bongo.
 
Back
Top Bottom