Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

Ommy Dimpoz azuiliwa kuingia Marekani!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
OMMYD.jpg

Mwanamziki Ommy Dimpoz amerudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kokosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo.

Chanzo: Clouds

Aisee
Nasikia viza aliyokuwa amekata haikuwa ina mruhusu kufanya show nchini marekani! Inasemekana alitakiwa kukata viza ambayo inaonesha ana kwenda kufanya show nchini marekani na bila shaka gharama zake ni tofauti na ile ya kwenda kutembea!Viza aliyo kuwa amekata ilikuwa ya kwenda kutembea tuu na kusalimu ndugu na jamaa si kufanya show!

Sasa kilicho tokea alipo fika uwanja wa ndege akazuiwa kuingia nchini marekani kwani viza aliyo kuwa amekata ilikuwa haimruhusu kufanya show ni baada ya kuhojiwa!

Ninacho jiuliza kwanini watanzania tunafikiri kila sehemu tunaweza kufanya ujanja ujanja? Kwanini hatupendi kufata utaratibu?Bahati mbaya zaidi show ilikuwa imesha andaliwa na jana kama si juzi ilibidi afanye!

Yani mtu anataka pesa halafu anaogopa kuingia gharama kukata viza itakayo mruhusu kufanya show nchi ya watu!
 
ina maana alienda kimandazi tu bila visa
bila visa wamruhusu kwenye airport ya bongo au hawaangalii visa?,nimepita mara kibao airport ya bongo ila unawaonyeshea passport na ticket sijanotice kama wanaangalia visa.
 
Aisee
Nasikia viza aliyokuwa amekata haikuwa ina mruhusu kufanya show nchini marekani! Inasemekana alitakiwa kukata viza ambayo inaonesha ana kwenda kufanya show nchini marekani na bila shaka gharama zake ni tofauti na ile ya kwenda kutembea!Viza aliyo kuwa amekata ilikuwa ya kwenda kutembea tuu na kusalimu ndugu na jamaa si kufanya show!

Sasa kilicho tokea alipo fika uwanja wa ndege akazuiwa kuingia nchini marekani kwani viza aliyo kuwa amekata ilikuwa haimruhusu kufanya show ni baada ya kuhojiwa!

Ninacho jiuliza kwanini watanzania tunafikiri kila sehemu tunaweza kufanya ujanja ujanja? Kwanini hatupendi kufata utaratibu?Bahati mbaya zaidi show ilikuwa imesha andaliwa na jana kama si juzi ilibidi afanye!

Yani mtu anataka pesa halafu anaogopa kuingia gharama kukata viza itakayo mruhusu kufanya show nchi ya watu!
 
amezoea tabia zwa uswahilini huku kila mambo ni bla blah
 
Unajuwa ni tatizo la ufahamu mkuu
Yeye alichotakiwa kufanya wakati akihojiwa ni kuwaeleza kuwa anaenda us kwa matembezi
Sasa inaonekana alitaka kuleta ujuwaji ili aonekane naye ni msanii kumbe mambo hayaendi hivyo
Hata hivyo waliompa mwaliko ni kama walimfanyia makusudi maana hii mambo mbona ipo wazi tu
Kupata visa sio sababu ya 100% kuingia nchi husika
Unaweza kuwa na viza na pia wakakuzuia kwa maelezo finyu kama ya Dimpz
 
Bila shaka alipo kwenda kukata viza hakusema kama ana kwenda kupiga show marekani bali alisema ana kwenda kutembea tuu sasa alipo fika kule wakamzuia baada ya kumhoji.
 
Nasikia ukitaka kwenda kufanya show US viza ni gharama kidogo kuliko mtu anaye kwenda kufanya matembezi! Sasa bila shaka alipo kosea ni pale alipo kata viza tofauti na alipo hojiwa akasema ana kwenda kufanya show na wakiangalia Visa haimruhusu kwa hiyo wakamzuia! Tatizo ni ujanja ujanja wa kibongo.
Unajuwa ni tatizo la ufahamu mkuu
Yeye alichotakiwa kufanya wakati akihojiwa ni kuwaeleza kuwa anaenda us kwa matembezi
Sasa inaonekana alitaka kuleta ujuwaji ili aonekane naye ni msanii kumbe mambo hayaendi hivyo
Hata hivyo waliompa mwaliko ni kama walimfanyia makusudi maana hii mambo mbona ipo wazi tu
Kupata visa sio sababu ya 100% kuingia nchi husika
Unaweza kuwa na viza na pia wakakuzuia kwa maelezo finyu kama ya Dimpz
 
Bila shaka alipo kwenda kukata viza hakusema kama ana kwenda kupiga show marekani bali alisema ana kwenda kutembea tuu sasa alipo fika kule wakamzuia baada ya kumhoji.

Kwa hiyo niyeye alijikanyaga kwenye maelezo au marekan hawakubali msanii kwenda kwao na kuwa na visa ya kawaida
 
Nilicho sikia ni kwamba Visa ya kwenda kutembea tuu na Visa ya kwenda kufanya show zinatofautiana na pia zina totautiana gharama!

Ommy alikata Visa ya kwenda kutembea kumbe ana kwenda kufanya show! Alipo fika kule wakamzuia kuingia nchini marekani baada ya kuhojiwa na kugundulika Visa aliyo kata haimruhusu kufanya show

Kwa hiyo niyeye alijikanyaga kwenye maelezo au marekan hawakubali msanii kwenda kwao na kuwa na visa ya kawaida
 
Masikini sijui hilo gundu kalitoa wapi
Maana mara zote anaenda nakurudi fresh kulikoni hii ya sasa awe makini asije haribu kibarua chake
 
Maccm yamemponza na mambo yao ya mkato mkato, wizi, magendo, rushwa... Ukitumika na CCM lazima ukumbwe na misukosuko ni kama laana tu!
 
Back
Top Bottom