Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
hawez kujieleza,xhule hakuna unategemea nn
Kwa uandishi huu na wewe unaweza kujihesabu katika walioenda shule kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawez kujieleza,xhule hakuna unategemea nn
Baadhi ya watu wamefurahia icho kitendo cha dimpoz kuludshwa tz bila show.....duh inaumiza xana
![]()
Mwanamziki Ommy Dimpoz amerudishwa Tanzania baada ya kuzuiwa kuingia Marekani kwa kokosa vibali vinavyomruhusu kuingia nchi hiyo.
Chanzo: Clouds
Watoto wa mjini tunaita deal limebuma, no shame no offenceWatanzania wana matatizo makubwa kuliko mnavyodhani.
Kuna rafiki yangu pumbavu fulani jinga kabisa lilikuja Bongo likiwa na passport ya Marekani basi kwa uzuzu na ulimbukeni kila hotel tukienda lenyewe linaona sifa kutoa US Passport matokeo yake kinakosa prevallige za wazawa linachajiwa kama mzungu mimi nachajiwa kizalendo.
Nina uhakika pale airport Marekani mahojiano yalikuwa hivi;
Immigration officer: Hellow mr Dempoz why u came to US?
Ommy dempoz: You know i have big show, big concert in America and my President Kikwete he select me to perform in Ameria for Ccm Celebrates.
So far i have big project with Wema you can follow me in Insta.
Immigration officer: Ok Mr Dimpoz wait there seat on the coach wait for the next flight back to your country.