Ommy Dimpoz huwa anaenda Mombasa, Kenya mara kwa mara kufanya nini?

Ni vizuri haya maswali kama ungumuuliza dimpoz mwenyewe maana ndio anajua anachokifuataga huko
HABARI ZENU WAKUU

Kama heading inavyosomeka hapo juu, kiukweli me nimekuwa najiuliza huyu braza Ommy Dimpozi huwa anaendaga Mombasa kupiga show au kufanya nini? Na yule Gavana (Joho) ndo anayemtafutia show huko Kenya au vipi? Maana kila akienda Kenya lazma yuko naye.

Hebu naomba nielewesheni mdogo wenu nielewe.
 
typical definition ya wanaume wa dsm
 
Back
Top Bottom