Ommy Dimpoz kabla hajatoka


Wewe mbulumundu elewa huyo supastaa wako wapi ametoka na wapi mashabiki wake wapo.Mwambie apunguze kuwatuma kuwatuma nyie kuwashauza, yeye ni mbongofleva aliyetukuka na anakubaliwa na wengi wasiouhudhuria live band ambao wanaosubiria matamasha ya bei poa au ya hisani.
 

Kabisa aaaa yani ni anajifanya anajua sana kumtetea uyo ndomo wakee
 
Labda ni jirani yaker

Dina mambo ya fiesta nimemuachia mtoto wangu wa miaka 4 aje kuhudhuria,mimi baba yake nilihudhuria nikiwa A level.Sasa hivi mimi ikifanyika kazi yangu kuamka mapema kuangalia watu wakitembea peku baada ya kuchukuliwa vitu vya kuhamishika kutoka mifukoni mwao .
 

Mi hata sijawah kanyaga fiesta, watu wengi mno hata raha hamnaa
 

Hapo kwa mbulumundu kumeniacha hoi chezeiya mashabiki maandazi
 

Diamond ndio aina ya panya gani? Au ni vyura wa kihansi? Maana wale wamezoea kuishi kwa Obama.
 
hahahaha...bila shaka atachukia kuona watu tumeivumbua hi picha yake toka mgodini
 
Hahahahaaaaa, kazi kweli kweli! Leo nimecheka kweli mpaka machozi yamenitoka! jamaa kakaa ki-comedian sana pale! Ila hata hivyo nina wasi wasi kama ni yeye!
haia akiwa kwao kigoma bila shaka
 
Hahahahaaaaa, kazi kweli kweli! Leo nimecheka kweli mpaka machozi yamenitoka! jamaa kakaa ki-comedian sana pale! Ila hata hivyo nina wasi wasi kama ni yeye!

ni yeye huyo...tabasamu tu copyright
 
hahahaha...bila shaka atachukia kuona watu tumeivumbua hi picha yake toka mgodini
Pia humu humu JF nilishawahi ona picha za kina AY na Mh. Sugu enzi bado wanasugua gaga, aisee zinachekesha kweli,lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…