Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee kila mtu kaanzia chini kama Diamond anasema hakuna hotel ya hadhi yake usikasirike kwa sababu hayo ni maoni yake, pengine hadhi yake ni chini sana na hotel za mbeya zipo juu sana au pengine hupenda kukaa kwnye ghorofa nzuri zilizokuwa na lifti maana mbeya lifti ipo moja tu..
Nachomaanisha usimind kauli yake..
Wewe mbulumundu elewa huyo supastaa wako wapi ametoka na wapi mashabiki wake wapo.Mwambie apunguze kuwatuma kuwatuma nyie kuwashauza, yeye ni mbongofleva aliyetukuka na anakubaliwa na wengi wasiouhudhuria live band ambao wanaosubiria matamasha ya bei poa au ya hisani.
Kabisa aaaa yani ni anajifanya anajua sana kumtetea uyo ndomo wakee
Labda ni jirani yaker
Dina mambo ya fiesta nimemuachia mtoto wangu wa miaka 4 aje kuhudhuria,mimi baba yake nilihudhuria nikiwa A level.Sasa hivi mimi ikifanyika kazi yangu kuamka mapema kuangalia watu wakitembea peku baada ya kuchukuliwa vitu vya kuhamishika kutoka mifukoni mwao .
Wewe mbulumundu elewa huyo supastaa wako wapi ametoka na wapi mashabiki wake wapo.Mwambie apunguze kuwatuma kuwatuma nyie kuwashauza, yeye ni mbongofleva aliyetukuka na anakubaliwa na wengi wasiouhudhuria live band ambao wanaosubiria matamasha ya bei poa au ya hisani.
Mpe warning warumi haijui ignore list??
Wewe mbulumundu elewa huyo supastaa wako wapi ametoka na wapi mashabiki wake wapo.Mwambie apunguze kuwatuma kuwatuma nyie kuwashauza, yeye ni mbongofleva aliyetukuka na anakubaliwa na wengi wasiouhudhuria live band ambao wanaosubiria matamasha ya bei poa au ya hisani.
hapo bila shaka...ndo anatua tazara akipokewa na T.I.D mnyama na mobenga kutoka leka dutigite...
ha ha ha ha tangu enzi jamaa anapenda pedo...
haia akiwa kwao kigoma bila shaka
Hahahahaaaaa, kazi kweli kweli! Leo nimecheka kweli mpaka machozi yamenitoka! jamaa kakaa ki-comedian sana pale! Ila hata hivyo nina wasi wasi kama ni yeye!
Pia humu humu JF nilishawahi ona picha za kina AY na Mh. Sugu enzi bado wanasugua gaga, aisee zinachekesha kweli,lol!hahahaha...bila shaka atachukia kuona watu tumeivumbua hi picha yake toka mgodini
mbona kashatoka hapo,yupo nje ya treni
tuletee akiwa ndani hajatoka kwenye train