Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi huyo mke ni dinazarde
Nahisi huyo mke ni dinazarde
huyu dada unamuandama...hahahhhaa una tatzo naye nin.
Kuna mtu alinambia hizi picha ni za video ya nyimbo yake mpya atakayoitoa, kwamba aliwaona akati wanashut, sijui kuna ukweli wowote
Hao ni waarabu wa pemba.
Nahisi huyo mke ni dinazarde
huyu dada unamuandama...hahahhhaa una tatzo naye nin.
Hao ni waarabu wa pemba.
Hujuana kwa vilemba
Mambo vipi lakini,mbona mmbea mkuu wa jukwaa yupo mute leo.
ananipenda penda huyo hua ni mbeba pochi wa wema