Ommy Dimpoz na Vanessa ni couple

Ommy Dimpoz na Vanessa ni couple

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Jamani kwa waliokuwa Fiesta watakubaliana na hili.

Sasa hivi hawa jamaa mambo hadharani kweupe, kitu full affection.

Dah hongera kwa kujichukulia katoto kazuriii, kweli usanii unasaidia kupata warembo.

Kawaida kawaida Omar asingempata

Huyu sista duu
 
Achakukurupuka weka habari vzr na picha afu fiesta sio kila mwanajf anaenda na sio kila mkoa imefika na sio kila fiesta wanaenda wapaka lipshine midomoni hao hao
 
Picha.....
Labda ana
attachment.php
izungumzia hii picha.... mambo ya Fiesta
 
Attachments

  • 1411358129559.jpg
    1411358129559.jpg
    86.8 KB · Views: 3,555
juzi hapa si mlisema vanesa yuko na Jux,dimpoz na kidoti,mbona mambo...au wako tayari kunywa vidonge kila siku?
 
akina kidoti wapo wengi

Tena wengi.....yaani watu hawajui kuMantain status zao kabisa.Kabla yakufanya huo ushenzi wanatakiwa wajue jamii imewa Rank vipi lakin wao wapiiiiii.

Shaur zao......yaani ni kher usikie anatoka na Ben pol kuliko huyo mlamba lips
 
yaani hata sijui wakoje nishamdiss tayari
 
Back
Top Bottom