Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anaPicha.....
Mtu wako wa nguvu kamwagwa? Ayooooooo!
Labda anaizungumzia hii picha.... mambo ya Fiesta
Huyo Dimpoz mwenye ndio yule mla unga?
Nauliza manake niliwahi kusikia au sie huyu? oooooooooooooooh sorry ni yule Chidi Benz sijui ah nimechanganya madawa.......Mkuu jamaa anabwia unga?
Ama kweli kila shetani ana mbuyu wake. Sasa Vanesa ana uzuri gani? Yale makalio yaliyolegea kama soksi?
Kachemsha huyo mdee.......
Ama kweli kila shetani ana mbuyu wake. Sasa Vanesa ana uzuri gani? Yale makalio yaliyolegea kama soksi?
akina kidoti wapo wengi
Tena wengi.....yaani watu hawajui kuMantain status zao kabisa.Kabla yakufanya huo ushenzi wanatakiwa wajue jamii imewa Rank vipi lakin wao wapiiiiii.
Shaur zao......yaani ni kher usikie anatoka na Ben pol kuliko huyo mlamba lips