Alishawahi kulegeza Macho & kulamba lips kama huyu?
Hiyo ndiyo Dar mammy!!Wanatia hasira hawa
Wanaume mnapungua jamaniHiyo ndiyo Dar mammy!!
Wenyewe wanajiita wanaume wa Dar..Juzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?

Ana bana midomo ili hizo dimples zionekane ana matatizo bwana mdogo kuwa mtoto wa kiume kwake ni kama bahati mbaya.Kidogo nitukane niharibu swaumu yangu!! ... Amenikera anavoramba midomo na kuibana ...
Wala usikasirike ndio njia aliyo jichagulia ana wasaidia.Wanatia hasira hawa
Teh Teh [emoji83]wanaume wanapotea mithiri ya ndovu porini tumebaki wachache tuchunge urijali wetu
Watoto wa Kigoma Hao Wanajijua