Ommy Dimpoz nae kaamua kutoboa pua na kusema haya

Ommy Dimpoz nae kaamua kutoboa pua na kusema haya

jamaaa kitaaani wanadai hawamjui shemeji!!.......Wanaume wanazidi kupuputika dar es salaam.
 
Juzi juzi tumesikia msanii flani wa kiume akitamani kununuliwa gari na pedeshee mmoja maarufu kama Chiefe creature, Mara tukasikia shoga mmoja apania kumpora Vanessa Mdee nyongo wake,Hata akili hazijatulia mara tukasikia kuna tamasha la kula chips huko Dar. Hivi kukuna nini huko Dar?
Wenyewe wanajiita wanaume wa Dar..
 
Kidogo nitukane niharibu swaumu yangu!! ... Amenikera anavoramba midomo na kuibana ...
Ana bana midomo ili hizo dimples zionekane ana matatizo bwana mdogo kuwa mtoto wa kiume kwake ni kama bahati mbaya.
 
Wako wasanii wakitoboa pua nitajiuliza kulikoni lakini kwa huyo ni mahala pake kabisa tena amechelewa, mkimshangaa na kumlaumu mtakuwa mna muonea tu.
 
Huyu nae alipiga pushup kwenye kampeni ya JPM
 
Back
Top Bottom