Ommy Dimpoz: Nashukuru Basata kumuadhibu mjinga Ney wa Mitego, nitamuonyesha mpenzi wangu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Ommy Dimpoz ameshukuru baraza la sanaa Tanzania kumuadhibu msanii mjinga Ney wa Mitego, pamoja na wasanii wengine wanaoandika nyimbo za matusi
Amesema atamtambulisha mpenzi wake soon, na amedai mtu kutokuonyesha mahusiano yake sio kuwa jogoo haliwiki bali ameamua kuweka maisha yake private yakae private na kutolea mfano ya wasanii kama mwana fa, ay, ambao hawaonyeshi wapenzi wao lakini haimaanishi wana matatizo
 
Mnamuonea huyu Dogo,
Mtangazaji anamuuliza maswali na yeye anajibu wala hajamtaja huyo ney wa mitego wala story za demu wake hajazianzisha yeye bali ameulizwa maswali akajibu.
Hamna bundle ya kufungua hiyo video au ndiyo mmezoea baby sitting kila kitu mtafuniwe?
 
Kuna swali kaulizwa et nasikia ukiingia na dem unatanua shuka anaejua huu msemo naomba anifafanulie
 
hahahaaa mtoto wa kiume kujiita dimpoz kweli?lazma kutakua na uwalakini apo
 

Mbona Maneno Mengi tunataka vitendo
 
Ommy bana wakati anahustle alikua anadate na rafiki yangu...alivyotusua akaanza kumzingua....wanaume si watu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…