Ommy Dimpoz: Nashukuru Basata kumuadhibu mjinga Ney wa Mitego, nitamuonyesha mpenzi wangu

Ommy Dimpoz: Nashukuru Basata kumuadhibu mjinga Ney wa Mitego, nitamuonyesha mpenzi wangu

Mbona anatumia nguvu sana kuongelea kama ana dem, shogakidawa nini?
Huyu ndio yule kwenye tangazol LA magoro amelala na viatu


Anatuonyesha mchumba baada ya kuchanwa na lile jembe anatakiwa kumshukuru coz amemkumbusha uanaume [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa hiyo amekutuma uje ushtaki humu?!
Punguza mihemko mkuu hajanituma ila naeleza ninachokijua kwa watu wanahoisi jamaa ni shoga.....halaf uoni hyo taarifa kama ina faida kwa ommy kutokana na tuhuma zake??
 
Msanii Ommy Dimpoz ameshukuru baraza la sanaa Tanzania kumuadhibu msanii mjinga Ney wa Mitego, pamoja na wasanii wengine wanaoandika nyimbo za matusi
Amesema atamtambulisha mpenzi wake soon, na amedai mtu kutokuonyesha mahusiano yake sio kuwa jogoo haliwiki bali ameamua kuweka maisha yake private yakae private na kutolea mfano ya wasanii kama mwana fa, ay, ambao hawaonyeshi wapenzi wao lakini haimaanishi wana matatizo

Msalimie Misago
 
Ha ha ha, Watu hawataki maneno, Onyesha uwezo, Haka kajamaa inawezeka asubuhi hakatunishi boxer
 
Back
Top Bottom