Ommy Dimpoz: Nashukuru Basata kumuadhibu mjinga Ney wa Mitego, nitamuonyesha mpenzi wangu

Kwani hazipo?! Acheni kumuonea Ommy, mbona hamshangai wale wanaume wa mawingu wanapopiga mayowe pale studio kwa kusema "imoooooooo" imo wapi?! mwacheni Ommy aishi maisha yake ufuska si sifa.
aka mwamwala mpululu.....msinga wa kintu kilume bizy kujipiga selfie kisifia dimpoz zake womtetela...........maa akava musinga wako yo boya jiyo furahia uri?na wale wakileta mada yao tutawasema tu huu ni mda wa dimpoz.........maa vakaharibika mwolalamika ava vasinga va siku iji ni laana vii.tukemee bado mapema uyu
 
Hahaahaaah, nkasu uriii u?! Mulumba avikire dimpozi, muntu mulume jipiga selfie ni kintu chema vi, wale wanao jibadili matumizi ndio mbaya.
 
Ha ha ha ha me najua alikua shemeji yangu sasa hao wanaosema jamaa ni type ya akina james nashangaa
Sio ajabu kuwa na demu mkapendana tu bila kufanya lile tendo, rafiki yako kakuficha kuwa hakuwahi kuona hata kichwa cha jogoo cha Dimpozii mzee wa kuuza laini za tigo. Namjua sana huyu jamaa misifa mingi Lakini hakuna kitu pale, kazunguka kwa siri Ili kutibu tatizo lake Lakini bado. Hapo yawezekana mganga wake kampa imani kuwa mambo yatakuwa safi.
 
Kama kaanza hayo mambo basi alivyokua maarufu, Omary ninaemzungumzia mimi kabla hata hajatoa nai nai, anapanda daladala.... huwez kuwa na mahusiano na mwanaume kwa miaka 3 then msishiriki tendo la ndoa......may be kama ndo tabia zake kwa sasa, hapo sitopinga.
 
Mbona unawasemea na wengine zungumzia nafsi yako.....ndiyo nilikua na lengo la kujionyesha kama namjua toka zamani na sio shoga kama anavyofikiriwa kwan kuna tatizo? kama umekwazika samahan dada yangu na sitokujibu tena, usiku mwema.
Kwani wewe unamjua kiasi gani Dimpozii, je unaweza kusibitisha kwamba sio mfanya biashara we tigo? Mbona huyu namjua sana pale hakuna kitu, jogoo hawiki kabisa akaona Ili asife masikini akaanza kuuza laini za tigo.
 
Calisah wa juzi tu tumeona vitu vyake ye naye aonyeshe ka dogo
 
Kwani wewe unamjua kiasi gani Dimpozii, je unaweza kusibitisha kwamba sio mfanya biashara we tigo? Mbona huyu namjua sana pale hakuna kitu, jogoo hawiki kabisa akaona Ili asife masikini akaanza kuuza laini za tigo.
Jaman mimi nachoka sasa, nakuambia toka mwanzo kuwa huyu alikua anadate na rfk yng enzi hizoo almost 3 years so kuwa mchicha mwiba labda aanze siku hizi.....so wewe unajua ommy ajawai kugonga toka azaliwe??[emoji23][emoji23][emoji23]....mwisho sitojibu tena kuhusu ilo swala!!!!
 
Kama kaanza hayo mambo basi alivyokua maarufu, Omary ninaemzungumzia mimi kabla hata hajatoa nai nai, anapanda daladala.... huwez kuwa na mahusiano na mwanaume kwa miaka 3 then msishiriki tendo la ndoa......may be kama ndo tabia zake kwa sasa, hapo sitopinga.
Watu wanaweza kudumu hata Miaka 5 nina rafiki tulisoma nae, alikuwa na tatizo kama hilo mpaka leo, Lakini alikuwa na mahusiano na binti kwa miaka 4 bila tendo. Mwisho binti alishituka, kila akitaka mgegedo, anapewa sababu siku zinakwenda. Dimpozii pale hakuna kitu, namjua sana
 
Jaman mimi nachoka sasa, nakuambia toka mwanzo kuwa huyu alikua anadate na rfk yng enzi hizoo almost 3 years so kuwa mchicha mwiba labda aanze siku hizi.....so wewe unajua ommy ajawai kugonga toka azaliwe??[emoji23][emoji23][emoji23]....mwisho sitojibu tena kuhusu ilo swala!!!!
Watu tunaficha ya watu tu, Ney alipata siri toka kwa demu mmoja jina kampuni, kwamba jamaa ni storiii nyingi, demu akitaka mgegedo ommy anaanza sijui oh... Na hakuwahi kuona hata mzee amekasirika japo kidogo, licha ya kukaa nae chumbani zaidi saa 24. Hovyo sana huyu jamaa
 
Mie ningekuwa ommy dimpoz ningeita waandishi wa habari halafu ningedindisha dushelele langu likiwa ndani ya suruali ili wapige picha vuzuri then wakamuonyeshe ney kwamba mimi niko fiti.
 
Acha kukuza maneno chenga ww
Hakutaja jina alisema wasanii wajinga wanaoimba matusi ila hakutamka wazi..........

Hata kama ni ney ila hakumtaja ko usiwe unakoleza chumvi...........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
nani asiyejua kuwa Nay wa mitego ndiye aliyezungumzwa hapo, chumvi iko wapi?
 
Hata mm najua kuw alikuw anagusiw yy ila heading inamgusia ney sas ommy kwn alimtaja ney?????

Ndo midom yenu huw inawaponza kwa kuongezea maneno, ommy hakutaja direct japo tunajua ni ney kwel..............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Nasikia anaweza kulala na kichuna 24/7 bila Ku.......
Ha ha ha hana tofauti na ticha mmoja hivi inasemekana inasemekanaaaa nae ni kama ommy, ila story zake anajisifia anagonga ile mbaya....
Siku moja denti mmoja akapewa ramani aende kwa ticha akampe, ticha kaishia kununua chips na soda wakala wakapiga story dogo kaishia, jtatu ticha anasema alimbandua dogo kuulizwa anasema walikula tu chips na kupiga story ha ha ha kwa hiyo ommy nae mmmh
 
Watu wa namna hiyo wanakuwaga na matangazo sana
 
Mnamuonea huyu Dogo,
Mtangazaji anamuuliza maswali na yeye anajibu wala hajamtaja huyo ney wa mitego wala story za demu wake hajazianzisha yeye bali ameulizwa maswali akajibu.
Hamna bundle ya kufungua hiyo video au ndiyo mmezoea baby sitting kila kitu mtafuniwe?
ttzo la watz show off wanapenda sana ata uongea vp hawata kuelewa sbabau wengi wao ni Jamii zile za bwana yule
 
Back
Top Bottom