Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Miss you pia dada bilionea, umejichimbia sanahata wale nyuki wa mashineni wana kasi sana......lakini akikutulia.....wala hakuumi.........
missing you tho.......
Unataka akutende nini?Mbona Maneno Mengi tunataka vitendo
Umeshawahi kumpa akashindwa au basi humpendi?Kazi yake kupiga piga tu picha na madem, namuona kama nyuki wa canteen ni kulamba lamba tu vikombe na sukari, huenda ni kweli jongoo hapandi mtungi
Hili povu sio bure, lazima ulitoswa weweKazi yake kupiga piga tu picha na madem, namuona kama nyuki wa canteen ni kulamba lamba tu vikombe na sukari, huenda ni kweli jongoo hapandi mtungi
Huyo rafiki yako ni jinsia gani?Ommy bana wakati anahustle alikua anadate na rafiki yangu...alivyotusua akaanza kumzingua....wanaume si watu!!!
Huyu ndio yule kwenye tangazol LA magoro amelala na viatuMbona anatumia nguvu sana kuongelea kama ana dem, shogakidawa nini?
Wa kike na ni maarufu sana huko instaHuyo rafiki yako ni jinsia gani?
Kwan wanamla?Shoga anaweza kuwa dem au?
Anaitwa naniWa kike na ni maarufu sana huko insta
Sorry siwez mtajaAnaitwa nani
Acha bana njoo PmSorry siwez mtaja
Kwa hiyo amekutuma uje ushtaki humu?!Ommy bana wakati anahustle alikua anadate na rafiki yangu...alivyotusua akaanza kumzingua....wanaume si watu!!!
Ommy bana wakati anahustle alikua anadate na rafiki yangu...alivyotusua akaanza kumzingua....wanaume si watu!!!
Punguza mihemko mkuu hajanituma ila naeleza ninachokijua kwa watu wanahoisi jamaa ni shoga.....halaf uoni hyo taarifa kama ina faida kwa ommy kutokana na tuhuma zake??Kwa hiyo amekutuma uje ushtaki humu?!
Ha ha ha ha me najua alikua shemeji yangu sasa hao wanaosema jamaa ni type ya akina james nashangaaKwa hiyo kumbe dogo ommy ni makodinda makostamina?,wanampakazia kuwa ni gay wanamsingizia?
Msalimie MisagoMsanii Ommy Dimpoz ameshukuru baraza la sanaa Tanzania kumuadhibu msanii mjinga Ney wa Mitego, pamoja na wasanii wengine wanaoandika nyimbo za matusi
Amesema atamtambulisha mpenzi wake soon, na amedai mtu kutokuonyesha mahusiano yake sio kuwa jogoo haliwiki bali ameamua kuweka maisha yake private yakae private na kutolea mfano ya wasanii kama mwana fa, ay, ambao hawaonyeshi wapenzi wao lakini haimaanishi wana matatizo
Khaaaaa heri uniambie nimetoswa na nuhu mziwanda sio huyu shogakidawaHili povu sio bure, lazima ulitoswa wewe