Ommy Dimpoz: Nashukuru Basata kumuadhibu mjinga Ney wa Mitego, nitamuonyesha mpenzi wangu

Kaka ommy unatumia nguvu sana kutuambia una dem kwani ukikaa kimya inakucost nini we ndo wajua unae au hauna **** inasimama au haisimami..... Ukiongea tunaongeaaaa
Bibie nipe namba yako nikuunge bundle la chuo ili uweze kufungua hiyo video uone kuwa huyo Dogo hajatumia nguvu bali kaulizwa swali akajibu.
 
Punguza mihemko mkuu hajanituma ila naeleza ninachokijua kwa watu wanahoisi jamaa ni shoga.....halaf uoni hyo taarifa kama ina faida kwa ommy kutokana na tuhuma zake??
Sasa tutakuamini vipi?!

kama vipi tuma picha.
 
Huyo mpenzi wake atakayemuonesha ni me ama ke?
 

Acha kukuza maneno chenga ww
Hakutaja jina alisema wasanii wajinga wanaoimba matusi ila hakutamka wazi..........

Hata kama ni ney ila hakumtaja ko usiwe unakoleza chumvi...........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Mke wa mwarabu ommy msambwanda unamambo we endelea kujichubua naona songi lako lisha buma unatafuta pa kufia na kiki
 
Kwani lazima mniamini?? wewe endelea kuamini unachoona kwako ni sahihi na mimi ntaendelea kuamini ninachokijua.
Sasa kama ukuwa na shida ya kuaminika iweje ulituletea habari ambayo haituhusu au ulikuwa na lengo la kujionyesha unamjua vizuri jamaa kabla ajatoka?
 
Sasa kama ukuwa na shida ya kuaminika iweje ulituletea habari ambayo haituhusu au ulikuwa na lengo la kujionyesha unamjua vizuri jamaa kabla ajatoka?
Mbona unawasemea na wengine zungumzia nafsi yako.....ndiyo nilikua na lengo la kujionyesha kama namjua toka zamani na sio shoga kama anavyofikiriwa kwan kuna tatizo? kama umekwazika samahan dada yangu na sitokujibu tena, usiku mwema.
 
Duhh jamaa ana kazi sana ya kudhihirisha uanaume wake. Sijui atafanyaje ili watu waamini kwamba yeye ni kidume!
 
hahahaaa mtoto wa kiume kujiita dimpoz kweli?lazma kutakua na uwalakini apo
Kwani hazipo?! Acheni kumuonea Ommy, mbona hamshangai wale wanaume wa mawingu wanapopiga mayowe pale studio kwa kusema "imoooooooo" imo wapi?! mwacheni Ommy aishi maisha yake ufuska si sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…