Kwakweli! mh!Acha mwanaume atumie pesa zake atakavyo hujui shida alizopata wakati anaazitafuta alah!
Kumbe!Eeeh kila kona nakula vichambo, doooh hatari
Hahahahahaha sikufikiri km mtu anaweza kuina hilo, too much of anything....... Japo ni uhuru wake mi hua napita tu siangalii picha zake kabisa.Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew