Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew
13c90de0345538dc4b0d139064895cd4.jpg
 
Kuchanwa ain't easy bro, muache apunge upepo pande zote za dunia , we huoni vazi lake kuu siku hizi?
 
Ni kwl inaboa ila huwez kujua pesa zake kavuja jasho gani mpaka atumie et umpangie kila MTU na maisha yake mwache ale bata mwenzako labda hatoi hata kumi.
.hapo analipiwa muache na maisha yake
 
Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew
13c90de0345538dc4b0d139064895cd4.jpg
Hahahahahaha sikufikiri km mtu anaweza kuina hilo, too much of anything....... Japo ni uhuru wake mi hua napita tu siangalii picha zake kabisa.
 
Unampangiaje mtu cha kufanya na hela ni zake?unajua hela anaipata vp?
 
Back
Top Bottom