Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Asije akawa anaishi kwenye nyumba za kupanga tena vyumba vya huani! Mshaurini awekeze au ajenge, hacheni kumpa sifa za kijinga wakati mwenzenu anapotea, muulizeni Mr Nice
Wabongo unafiki ndo wanauweza
 


Kweli maisha bongo magumu, yaani jamaa kunywa kikombe cha km kahawa Uarabuni tayari unaona jamaa anastarehe sana [emoji52]
 
kwa yanayoendelea nnchiii mwachen ale bata,,,,,ata asiporrudi sawa tu
 
Tatizo lako hasa nini?

Ulitakaakuchukue na wewe muende wote?
 
ILA warumi na yeye si ANAENDA KAZINI!
uachage umbea na wewe binamu!
raia WENYE HASIRA KALI WAMEKUVAMIAAAA!
ahahahhhahahahhahahhaha DAH!ahasante kwa kicheko mubaashara!
Hii michambo ya mwendo kasi, kweli raia wamenichoka
 
Utakuta aliyeandika hapo ni huyo huyo ommy mwenyewe kutaka kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…