Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basiMbona??
Yani hili jamaa linanikera, linapenda sana raha badala ya kufanya kazi, lenyewe kutwa kubadilisha ndege, mara Dubai, US, Italy, London, khaa! Tumekuchoka bhana, fanya kazi mtoto wa kiume hizo show off waachie akina Wolper na wema ,mbona wenzio akina diamond hawana huo upuuzi, wenzio wakisafiri kikazi kama bata sio kama unavyoendekeza wewe, hata kama unalipiwa bhana, unaboa sana, mxiew
![]()
[emoji23]Huyu n sawa tu na magu
AhhahahaahhahaSio kwa michambo Hii binamu, wambea wenzangu nao wamenigeuka looh sina hamu
hakyanani umeniua jana!Hii michambo ya mwendo kasi, kweli raia wamenichoka
WAMEKUKOMESHAAAAA!Sio kwa michambo Hii binamu, wambea wenzangu nao wamenigeuka looh sina hamu
Duh. Pole pole bosiPesa zake sio zako usimpangie matumizi.punk