Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Waswahili wivu utatuua, unaanzaje kumpangia mtu jinsi ya kuendesha maisha yake????
Afanye kazi asifanye wewe unapungukiwa nini???

Naona sikuhizi unakosa vya kuandika, siku ingine unaacha tu siku ipite.
 
Waswahili wivu utatuua, unaanzaje kumpangia mtu jinsi ya kuendesha maisha yake????
Afanye kazi asifanye wewe unapungukiwa nini???

Naona sikuhizi unakosa vya kuandika, siku ingine unaacha tu siku ipite.
Kwa hiyo na wewe umeanza kunipangia cha kupost? Sasa kama nakuudhi umefuata nini si upite hivi,
 
Hawakai kusema tuwachangie kwa kuwa wameitangaza Tanzania pale mambo yanapoenda mrama,anayekupa tahadhari ni bora zaidi kuliko huyo anayekusifia kwa kufanya ujinga
 
mbona mimi sioni starehe kwenye hii picha labda kama mleta mana analingine
 
Dah pesa atafute kwa jasho lake, kisha umpangie matumizi... Mkuu umepatwa na nini!
 
Wakati anahaso ulikuwa naye? Mimi hamna kitu nachukia kama kumpangia MTU atumiaje pesa yake maana alikuwa juani mwenyew shida ya bongo ndio hii starehe ni wanawake tu ukipata hela ukaenda zako kubariz oooohhh starehe maisha yenyewe ndo hayahaya let ommy enjoy it..juu hukusaidia kutafuta
 
Na wewe usinipangie cha kupost pita hivi,
 
Una wivu wa kike
 
We Malaya mzee usinipangie cha kupost kahaba wewe, mxiee kama huna kazi kaoshe makalio yako mbuzi mwendawazimu..
Busara ni kitu cha msingi sana, sawa basi naenda zangu
 
Don't think u r free kumpangia mtu to that extent,unajua anazipataje?unajua maumivu anayopata wkt anaitafuta,aisee u r not free to that extent,u better watch it.
 
Hustle gn?hizi hizi za mziki wa kutegemea show!?ana show gn anaenda kufanya?alikiba tu kwa mfano kupata show SA majuzi ndo kaanza kujitapa kuwa anapiga hela,huyu ana hela gn ya kula bata hizo,sio vizuri kufuatilia maisha ya watu lkn yy ni celebrity,lzm afatiliwe na wala sio wivu ni kawaida ya binadamu kufatilia maisha ya mtu maarufu na wambea wanasema,umbea ni afya.
 
Pole warumi kwa hapa ulikosea mkuu awe celeb au mtu Wa kawaida sio vzr kumpangia mtu atumiaje pesa yake..mtu anashauriwa tu sio kupangiwa mfano chibu alivyo na viwanja na majumba mengi ya kupanga lazima mamake ndo anamshauri ila hampangii pole mzee mwenzangu
 
Na wewe usinipangie cha kupost pita hivi, mbwa wewe
Ahahaa masikini utamjua kwa mwandiko wake mimi ukinitukana ni sawa na kupiga jiwe ukifikiri litaumia k.ukwl kabisa nashukuru kwasababu najua mimi si mbwa.
 
Acha wivu ndugu. Labda kama huwa unampatia pesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…