Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Ommy dimpoz punguza starehe, unaboa...

Mbona kazungukwa na waarabu?!

Alafu mbona kama amekaa upande upande?!
 
Usimpangieeee[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Weeeeeeweeeeee
 
Ommy sio pesa yake labda kwa msiomjua unadhani domo aliropoka kusema jamaa wanamla nyuma , mbona hakubisha akaja kuongea kwa kuomba huruma ya wananchi. Tunamjua ommy hana guts hizo kamwe.
Sio pesa zake???? Sasa iyo kazi unayosema anaifanya ulitaka ulipwe wewe?
 
Back
Top Bottom