MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Nimesikiliza hii interview yake na Ayo..mnhhh asa aliyekuja na cancer ni nani?au zilikua kiki
Jamaa anaumwa.
Saiti yake imebadilika kabisa na yupo dhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikiliza hii interview yake na Ayo..mnhhh asa aliyekuja na cancer ni nani?au zilikua kiki
Kama si kweli iweje sasa kamanda!! [emoji853][emoji853]mungu amsaidie kama kweli ila kama sio kweli.......
..
Ok, sasa nimeelewa.Mbona hilo linafahamika? Yeye yuko SA, kwa matibabu kwahivyo licha ya hayo matibabu, yeye ndo anayeumwa na anaona bado anahitaji matibabu zaidi ya kwenda nje ya Afrika kutibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kulazimisha vitu ambavyo hakuvisema, utaandikaje anaenda Ulaya? Je akienda Amerika Kusini? Kwani kila nje ya Tanzania au Afrika ni Ulaya mkuu.?Ok, sasa nimeelewa.
Ila basi walau ungeandika kwenda kutibiwa zaidi Ulaya, maana hapo juu maelezo hayakujitosheleza.
amsaidie pia
Jamaa kakosea tu kuandika ila hataki kukubali ukweli.Ok, sasa nimeelewa.
Ila basi walau ungeandika kwenda kutibiwa zaidi Ulaya, maana hapo juu maelezo hayakujitosheleza.
Ndio tatizo letu Wabongo.Jamaa kakosea tu kuandika ila hataki kukubali ukweli.
Nimeangalia hayo mahojiano, alivyougua alianza kutibiwa Tanzania.
Wakati yupo Kenya Ma daktari wakamshauri aende India, South Africa au nchi nyingine iliyo advanced kwenye tiba.
Akaamua aende Afrika Kusini sababu ni karibu na hakuna mambo ya Visa.
Katika interview yake hajazungumzia suala la kwenda kutibiwa popote zaidi ya hapo halipo.
Mtoa mada kajiachanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya wewe umeayatoa wapi na hakuna popote amesikika mwenyewe akisema hivyo?Mbona hilo linafahamika? Yeye yuko SA, kwa matibabu kwahivyo licha ya hayo matibabu, yeye ndo anayeumwa na anaona bado anahitaji matibabu zaidi ya kwenda nje ya Afrika kutibiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mi nimesemaje? acha kiherehere
Kumbe we umenielewaje?Yeye ameongea madaktari walichosema!
Sasa Wabongo daaaa!
Kwahiyo ulitaka apindishe alichoambiwa hospitali?
Nimekuwekea chanzo kuwa Millard Ayo hapo, na kipindi cha Amplifaya au nyie mnasomaje?Haya wewe umeayatoa wapi na hakuna popote amesikika mwenyewe akisema hivyo?