Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.

Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.

Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.

IMG_20240219_140714.jpg

TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
 
Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.

Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.

Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.

View attachment 2909009
Mavazi yake kuna mambo yanaashiria
 
Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.

Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.

Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.

View attachment 2909009
Ila watanzainia tunamajungu sana na sasa watu hawajui ila wameshampakazia kila aina ya kashfa..

Kifupi huyo jamaa anakampuni ya kutengeneza matangazo na anapewa tenda na makampuni makubwa kama gsm unavyoona matangazo yote ya gsm na picha na video za billboards zilizosambaa mjini hapa ni kampuni ya ommy ndio inasimamia na ameajiri vijana wenye degree zao kwa hiyo anatengeneza pesaaa ndefu sana kupitia kampuni yake.
 
Back
Top Bottom