Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Huyu kama maisha anayaishi eti. Kama ni chakula ya wakubwa inamaana amewazidi hadi dada zake jamani😂😂😂.
Hapa pa kuwa punda naweza nikaamini ila ubwabwa tu?? Hapana
Upunda haipingiki, sasa unaambiwa mwenzio mpaka chumba anacholala muuza magodoro anakijua vizuri, kila uchwao anashinda nyumbani wakati mke mkubwa yupo zake vacation dubai, tena naona siku hizi mahaba na danga lake la kimombasa 001 yamepungua kabisa mambo yote kwa muuza magodoro.
 
Ila watanzainia tunamajungu sana na sasa watu hawajui ila wameshampakazia kila aina ya kashfa..

Kifupi huyo jamaa anakampuni ya kutengeneza matangazo na anapewa tenda na makampuni makubwa kama gsm unavyoona matangazo yote ya gsm na picha na video za billboards zilizosambaa mjini hapa ni kampuni ya ommy ndio inasimamia na ameajiri vijana wenye degree zao kwa hiyo anatengeneza pesaaa ndefu sana kupitia kampuni yake.
😂😂 mkuu mengine yakupite, kwa style hiyo hata hiyo biashara ingekuwa ishakufa kwa malumbuzi.
 
Huyu kama maisha anayaishi eti. Kama ni chakula ya wakubwa inamaana amewazidi hadi dada zake jamani😂😂😂.
Hapa pa kuwa punda naweza nikaamini ila ubwabwa tu?? Hapana

Mawazo yako kama yangu. Choo tu akiwezi kumfanya tajiri amwage mabilioni. Mbona mabwabwa wapo kibao tu mitaani maisha yao magumu.

Lazima kuna cha ziada
 
Back
Top Bottom