Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kumbuka biashara ya madawa ya kulevya na dhahabu haramu zinabebeshwa ama wasanii ama wanasiasa maarufu wanaopita V.I.P.Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.
Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.
Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.
View attachment 2909009
TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
changanya za kwako!