Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.

Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.

Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.

View attachment 2909009

TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
Kumbuka biashara ya madawa ya kulevya na dhahabu haramu zinabebeshwa ama wasanii ama wanasiasa maarufu wanaopita V.I.P.

changanya za kwako!
 
Kuna kipindi dudu baya alitajaga list ya watu wanaohusika na ushoga,ila hakumtaja huyu jamaa,sjui kwanini??pengine kweli sio shoga au pengine aliogopa kumtaja kwa kuwa anajua watu walio nyuma yake ni watu wakubwa sana kwenye hii nchi(muuza usingizi)??

Inawezekana bwana pozi kwa pozi sio gay ni rijali tu ila ana michongo na koneksheni town.
 
Huyu kama maisha anayaishi eti. Kama ni chakula ya wakubwa inamaana amewazidi hadi dada zake jamani[emoji23][emoji23][emoji23].
Hapa pa kuwa punda naweza nikaamini ila ubwabwa tu?? Hapana
Sure,nadhani huyu bwana ni mzamiru yassin
 
Upunda haipingiki, sasa unaambiwa mwenzio mpaka chumba anacholala muuza magodoro anakijua vizuri, kila uchwao anashinda nyumbani wakati mke mkubwa yupo zake vacation dubai, tena naona siku hizi mahaba na danga lake la kimombasa 001 yamepungua kabisa mambo yote kwa muuza magodoro.
We jamaa mbeya sana wewe hahahahahahahah dah
 
Heri msemaji mfungwa yeye alijaribu kidogo, moto ulivyokuwa mkubwa akaacha, ila walau ana mtaji
Dah we mzee wewe,nani aanze kushika tako la albinus,yule chawa tu hana upuuzi huo yule
 
Kwa usanii tu hata kutembelea mikoa minne ni mtihani sana.

Hata Hana hit song tusema anakwenda kufanya show mbele, yuko katika ofisi moja wa tajri akijifanya mtaalamu wa graphics na marketing manager content.

Kuna jamaa jamaa alisema Kuna kitu amekiweka rehani kwa Siri kubwa.

View attachment 2909009

TRA hawafanyi Kaz zao ipazwavyo na kwa nchi hi ukiwa muhujumu uchumi unapendwa na watakuja watu watanimbia nikatafute pesa niache wivu na kisonona
Waafrikaaa
 
Ila watanzainia tunamajungu sana na sasa watu hawajui ila wameshampakazia kila aina ya kashfa..

Kifupi huyo jamaa anakampuni ya kutengeneza matangazo na anapewa tenda na makampuni makubwa kama gsm unavyoona matangazo yote ya gsm na picha na video za billboards zilizosambaa mjini hapa ni kampuni ya ommy ndio inasimamia na ameajiri vijana wenye degree zao kwa hiyo anatengeneza pesaaa ndefu sana kupitia kampuni yake.
Very positive comment wabongo wana negativity nyingi na wivu ooh mara anaikalia ooh mara punda kumbe wivu
 
Back
Top Bottom